Ufunuo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 563
- 160
Naomba utufafanulie pls 2cje 2kakuona na ww ni mlevi, unatoa maoni ya kilevi, think big mbunge atamwambiaje mbunge mwenzake atoke nje? Kuna wabunge wamejisahau na wanadhani bunge ni mali yao na wanapoongea wabunge wangine wanaonekana maoni AU mawazo yao hayafai ni hata uwepo wao ndani ya bunge ni haramu.Sifa moja ya mlevi ni kupiga kelele zisizo na msingi na hicho ndo tunachoshuhudia siku za karibuni, mara fungeni milango tupigane, mara so what, mara kauli za leo za kilevi. Mbona kina slaa walitumia approach za kistaarabu tu na wananchi tuliwaelewa?