Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Bado sana CCM mnapata shida sana kwa kipindi hiki na pia itakuwa hivyo katika kipindi cha mwaka 2015 maana robo nzima bungeni watajaa wabunge wa CCM na wao CCM watakuwa wamejifia tayari
 
hapo kwenye RED-alitakiwa aachwe asome wote hadi uishe-wananchi tusikie-lakini wao wanachofanya wanataka akaukabidhi-sasa akishaukabidhi hakuna atakaye usikia tena-maana mifano ipo-hata uongo wa pinda ulipo kabiziwa kwa spika-haukusomwa tena-so hoja ni kwamba aachwe ausome-tufahamu madudu ya hawa watu wa magamba
Magamba tatizo kweli! Mbona ushahidi wa Mh. B. Shelukindo uliruhusiwa kusomwa wakati anajadili? Ni dhambi ipi Mh. Lissu angepewa ruhusa kama alivyopewa mbunge huyo wa sisiem? Double standards za bunge letu linaondoa maana ya demokrasia ndani ya chombo muhimu kabisa hiki cha kutunga sheria, ndo maana hata Mh. Manchali alinung'unika kuwa wapinzani hawatendewi haki ndani ya bunge.
 
Wenje anawakilisha wahuni wenzake hivyo anataka kufanya mambo ya kihuni kubisha hata pale pasipo na sababu ili aonekane na wahuni kuwa anauwezo wa kubisha na ni mbabe! CDM hili la wabunge wenu kujipa taswira ya uhuni litakipa chama taswira ya uhuni kwa wananchi!
Hao unaowaita wahuni ndio waliofichua uozo wote wa magamba, na Bado mpaka ccm iingie kaburini
 
Juzi nigeria spika wa bunge aliingia chini ya meza uku akifunika macho yake yasitobolewe wakati wabunge wengine wakitwangana makonde kila mtu na wake hakukuwa na mtu wa kumuamulia mwenzake natamani yatokee dom sijui ilopicha litakuwaje

amewakosea nini ccm?ipo siku zitapigwa bungeni!
 
Juzi nigeria spika wa bunge aliingia chini ya meza uku akifunika macho yake yasitobolewe wakati wabunge wengine wakitwangana makonde kila mtu na wake hakukuwa na mtu wa kumuamulia mwenzake natamani yatokee dom sijui ilopicha litakuwaje

wee unategemea ile mibunge ya CCM iliyovimbiwa na mitumbo yao itaweza kuzichapa na vijana km LEMA, WENJE, SUGU, LISSU na wengine. ndo maana askari mda wote wapo standby kuwaepushia na balaa. looh!.
 
watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....
 
Huyu atakuwa msukuma aliyeolewa (lowea?) dole.

aMWENYEKITI MABUMBA AMEZALIWA DOLE, KAKULIA DOLE NA MPAKA SASA ANAKALIA DOLE NA NI MBUNGE WA DOLE. WATEGEMEA NINI HAPO KAMA SIO UHARO TU.[/QUOTE]
na mimi nilitaka kusema hivi hivi
 
Mbona sielewi unamaanisha nn na kutafuta umaarufu, huyu jamaa ni mwakilishi wa wanajimbo la nyamagana so ni maarufu kule, sema alichofanya kikasababisha atolewe mjengoni na sio kuja na vioja.
 
Kwa mtu yeyote mwenye busara hawezi kushabikia ujinga ulioonyeshwa na Wenje bungeni. CDM kutumia nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu kama wanavyoelekea saivi. Mbona kina Dr. Slaa walijivunia heshima sana kwa kutoa hoja nzito bungeni kiasi tena katika bunge ambalo lilitawaliwa na idadi kubwa ya wabunge wa CCM kuliko ilivyo sasa. Tunashuhudia wabunge kama kina wenje wakiwekeza sana katika vituko na fujo ambazo kimsingi haziwasaidii watanzania. Inavyoonekana CDM hakuna tena mtu wa kuvaa viatu vya slaa katika kutoa uwakilishi makini. Kinachojitokeza sasa ni fujo zisizo za msingi katika masuala yasiyo ya muhimu kwa taifa hili. mkuu hizo fujo zina msingi, pia ndani ya fujo kuna busara, kuna wakati kumnyonga mtu huwa ni busara, sembuse kelele, mbinu za magamba kuhusu uongo wao bungeni umeshapatiwa dawa, cdm wako na data tayari kuwaambia wanyenchi na bunge ukweli pindi unapopotoshwa na ccm, cha msingi WENYENCHI TUMEONA. CDM HATA NGUMI PIGENI MTU! TUNAWAUNGA MKONO, MSIHOFU.
 
aMWENYEKITI MABUMBA AMEZALIWA DOLE, KAKULIA DOLE NA MPAKA SASA ANAKALIA DOLE NA NI MBUNGE WA DOLE. WATEGEMEA NINI HAPO KAMA SIO UHARO TU.


mmmh! wakuu ni kweli maeneo tajwa na sentesi hizi ni kweli lakini naona kiswahili kinatumika sivyo. huu msisitizo wa haya maneno ukiendelea itatafsiliwa kuwa ni matusi, ni mtazamo tu.
 
Hasty Generalization.Unadai Spika kamfukuza alafu unasema Watanzania ndio wamemstukia.
Mkikosa HOJA msilete VIOJA.
 
Hawa wenyeviti sometime hawatumii busara na chazaidi wanatumia nguvu kuliko akili mfano ni simbachawene jana jioni kachinjia baharini mwongozo wa mpiganaji wa ukweli.
 
watanzania sasa waanza kuwashtukia baadhi ya wabunge uchwara wa chadema wanaojitakia umaarufu bungeni huku wakijua watanzania wanamuona kwa runinga, huyu si mwingine ni mh ezekia wenje, leo amekionja cha mtema kuni baada ya m/kiti kumtoa nje ya ukumbi wa bunge kw kukiuka taratibu za bunge na kudharau kiti cha spika...wenje pale bungeni sio st augustine utaumbuka, jiangalie watanzania wamekustukia eti unataka umwige zito ili na ww upate kidogo kutoka kw mafisadi....

Kana Moghati oghete nke walya!!??
 
Hii ni story ambayo inabidi iwekwe katika movie kufikisha message kiulaini zaidi.politics sisi tunajifunza bado.ipo siku kiatu kitarushwa Bungeni.

Hebu kama kuna jipya mtuambie maana haijanitosheleza bado
 
Back
Top Bottom