Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

mswada upitishwe wa ngumi kupigwa bungeni.
 
Dah umeme walichukua hawa vikaragosi.......!!
 
Jamani Mwenyekiti wa Bunge leo ni dhahiri amemuonea mh.Wenje kwani amedhibitisha kuwa eti alidhani Wenje alitaka kuzungumzia suala lile lile lililopita kumbe mh.Wenje alitaka kuzungumzia suala la samaki wa sumu.
source;Jahazi-clouds fm
 
Wenje umeonewa sana na inabidi wakuombe radhi, ccm wameumbuka du noma sana, chama mnakimaliza
 
Picha no. 1.jpg

picha no. 2.jpg

Picha no.3.jpg

picha no. 4.jpg
 
mimi ni mpenzi wa miaka mingi wa kuangalia vipindi vya bunge lakini bunge la mwaka huu nimechoka nalo limetawaliwa sana siasa kwani inaonekana wabunge wengi wanaposimama kuchangia huwa wanachangia pumba na wengi huwa hawajui au sijui hawaelewi kanuni za bunge, nidhamu kwao kwa spika hakuna kabisa na hii imeishatokea kwa zitto kunyanyua kipaza sauti bila ruhusa spika leo tena wenje amefanya kitu cha aibu bungeni cha kubishana na spika, je? wanafanya hivi kwa kutokujua au ni makusudi, hii pia inaonekana kuwa kiongozi wa upinzani mh mbowe ana udhaifu, mbona bunge la 2005 hadi 2010 lilikuwa zuri na mh Hamad Rashid aliwaongoza vizuri wabunge wa upinzani na ikapelekea wanainchi kuwa na imani na upinzani na uchaguzi wa 2010 wakatuongeza wabunge wengine, lakini kwa mwendo tunaokwenda nao ndani ya ya bunge kelele nyingi, ubabe maneno yasiyo na staha na sidhani kama wanainchi wanafurahishwa na matendo ya wapinzani na hii itapelekea kutuadhibu katika uchaguzi ujao, chadema jirekebisheni!!!!
 
Join Date : 26th July 2011
Posts : 4
Rep Power : 0

crap .....!!!!!!
 
Kwa hiyo ulitakaje mkuu? Mimi nafurahgia zaidi bunge la sasa kuliko hilo lako la zamani, mambo ya ndio mzee yamepitwa na wakati.
 
magamba ndio wajirekebishe wanaliodhi bunge,wanalifanya la chama wakati ni la watanzania
 
Kwa hiyo wabunge wa CCM wanaolala wamekuvutia?
 
Wanabanwa ili wasiiumbue serikali.tutapambana mpaka mwisho.peopleiiz power
 
Join Date : 26th July 2011
Posts : 4
Rep Power : 0

crap .....!!!!!!
Ndio maana wamelipiga ban ilo pumbavu ndio maana limefungua ID nyingine namjuwa huyo mwehu. hapa atakimbia yeye mwenyewe, machangudowa wa kisiasa kama hawa hapa sio mahali pake.
Swali: Tuliambiwa jukwaa la siasa linafanyiwa mabadiliko makubwa ambayo italadhimu thread ikaguliwe kwanza ndio iachwe ichangiwe hapa jamvini, je mpango huo utaanza lini? tumechoka na thread za majuha na misukule.
 
nimecheka sana hapa. Huyu mbunge ni mwenzetu humu JF na omba radhi asifikirie kuwa nia yangu ni mbaya ila ninawisha kuwa wangeiingiza kwenye Youtube hii:


kwanza jamaa wa upinzani wanaume walianza naye:
Picha+no.3.jpg



then wakahaimia hawa wabunge wanawake:


picha+no.+4.jpg



Sasa hapa bado wanae....


Picha+no.+1.jpg



kama ka waida ya wana JF, when the going gets tough...you deuces!

picha+no.+2.jpg



Lakini hiii ya wenye ndio inatia huruma zaidi...jamaa kaamua kukaa nje baada ya kuadhibiwa

16.JPG
 
Hakupewa haki ya kujitetea kwa kuomba mu0‹2gozo,je m/kiti alijua jamaa ataongea nini.wakina lukuvi wanaliharibu bunge kwa kujifanya wanajua sheria.
 
Back
Top Bottom