Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Ninalipa wakuu hili limeniuma sana ndugu zangu ninateseka kwa ajili ya Ccm na Tanesco,hakika kisasi nitalipa siku siyo nyingi.
Wenje, ni mtu wa Kenya kule wamezoe fujo na ugomvi kila wakati. nawasikitikia sana watu wa Mwanza
Kwa taarifa yako mimi ni pro- CHADEMA ila sikufurahishwa na malumbano kama yale. Ninapochangia hapa siegemei upande wowote wa kichama, but Utaifa kwanza. Najua kwa uchachunge wa Chadema hoja zao nyingi zinapigwa chini kwa style ya kuleta ushahidi wa maandishi. Ukilinganisha approach za akina Wenje na Dr. Slaa alipokuwa bungeni utaona wazi kuwa Dr. Slaa alikuwa anajua kuvumilia kuliko akina Wenje. Tuache ushabiki wa vyama tuseme ukweli, hapa tunaelimishana tuu wakuu.
Kuna Msukuma anaitwa Ezekiel Dibogo Wenje, kama sio mtu ya Kenyahata mkapa mlisema si mtanzania
Ngugu wana JF,
Kuna thread ilianzishwa hapa kuhusu yaliyojiri bungeni leo kuhusu Wabunge Wenje, Moses na Tundu Lissu. Ni kweli Tundu Lissu amesema Naibu Waziri kadanganya bunge na yeye na ushahidi. Kilichotokea ni kwamba Tundu Lissu alikatishwa kumwaga radhi hadharani. Baada ya maswali na majibu, kabla ya Waziri David Mathayo kuanza kusoma bajet yake, ndo Mwenyekiti wa bunge kamtaka Tundu Lissu atoe uthibitisho saa tano na kama hana afute kauli yake. Ndipo Moses na Wenje walipoibuka na malumbano kuhusu Tundu Lissu kuongezewa muda. Mwisho wa yote, Wenje katolewa nje. Ninachoona kwa tafsiri yangu ni kama ifuatavyo;
- Kulikuwa na ulazima gani wa wabunge Wenje na Moses kumkingia kifua kumtetea Lissu kuongezewa muda wakati Lissu mwenyewe hajadai kuongezewa muda? Tena Lissu alikuwa yatari kutoa ushahidi wake papo hapo? Nionavyo mimi baadhi ya wabunge wa CHADEMA wanatafuta cheap popularity.
- Rafiki yangu Wenje hakujua kuwa leo Lawrence Masha yupo mle ndani (kama mgeni bungeni)
- Je kwa nini bunge la awamu hii imejaa malumbano yasiyo na msingi? Miongozo ya spika, taarifa, etc. malumbano yasiyo ya msingi.
Kwa mtu yeyote mwenye busara hawezi kushabikia ujinga ulioonyeshwa na Wenje bungeni. CDM inabidi wawafundishe vijana wao umuhimu wa kutumia nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu kama wanavyoelekea saivi. Mbona kina Dr. Slaa walijivunia heshima sana kwa kutoa hoja nzito bungeni kiasi tena katika bunge ambalo lilitawaliwa na idadi kubwa ya wabunge wa CCM kuliko ilivyo sasa. Tunashuhudia wabunge kama kina wenje wakiwekeza sana katika vituko na fujo ambazo kimsingi haziwasaidii watanzania. Inavyoonekana CDM hakuna tena mtu wa kuvaa viatu vya slaa katika kutoa uwakilishi makini. Kinachojitokeza sasa ni fujo zisizo za msingi katika masuala yasiyo ya muhimu kwa taifa hili.
UNGENIELEWESHA MAANA HALISI YA NENO uhuni,nazani ingekuwa jambo la maana ili niweze kukuelewa vyemaWenje anawakilisha wahuni wenzake hivyo anataka kufanya mambo ya kihuni kubisha hata pale pasipo na sababu ili aonekane na wahuni kuwa anauwezo wa kubisha na ni mbabe! CDM hili la wabunge wenu kujipa taswira ya uhuni litakipa chama taswira ya uhuni kwa wananchi!
unataoka usingizini mkuu?Wabunge wa Chadema wamezidi uhuni, muda wa ziada wa nini wakati Tundu Lisu alisema yuko tayari kutoa sasa hivi. Wanaharibu sana quality ya mijadala.