Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

Wabunge wa cdm hawana hatia hata kidogo, mii naombea next election waongezeke walau wafike 150. Au 100 tuone kama hazijapigwa ngumi humo kama wale wa ukraine ai nigeria
 
mimi ni mpenzi wa miaka mingi wa kuangalia vipindi vya bunge lakini bunge la mwaka huu nimechoka nalo limetawaliwa sana siasa kwani inaonekana wabunge wengi wanaposimama kuchangia huwa wanachangia pumba na wengi huwa hawajui au sijui hawaelewi kanuni za bunge, nidhamu kwao kwa spika hakuna kabisa na hii imeishatokea kwa zitto kunyanyua kipaza sauti bila ruhusa spika leo tena wenje amefanya kitu cha aibu bungeni cha kubishana na spika, je? Wanafanya hivi kwa kutokujua au ni makusudi, hii pia inaonekana kuwa kiongozi wa upinzani mh mbowe ana udhaifu, mbona bunge la 2005 hadi 2010 lilikuwa zuri na mh hamad rashid aliwaongoza vizuri wabunge wa upinzani na ikapelekea wanainchi kuwa na imani na upinzani na uchaguzi wa 2010 wakatuongeza wabunge wengine, lakini kwa mwendo tunaokwenda nao ndani ya ya bunge kelele nyingi, ubabe maneno yasiyo na staha na sidhani kama wanainchi wanafurahishwa na matendo ya wapinzani na hii itapelekea kutuadhibu katika uchaguzi ujao, chadema jirekebisheni!!!!

mimi nazani mama yako ndo vuvuzela
 
mm siyo mawingu niende nikanyeshe kwenye mabwawa.
 
ngoja nitamuuliza maana inaonekana aliamua kuchokonoa nyuki na wao wakaamua kumsuta...jamaa huyooooooooooooo anasepa tuuu
 
Jioni hii, bunge kupitia kwa mwenyekiti wake Jenesta Mhagama limeiomba Serikali kuja na majibu makini kuhusu samaki walotoka Fukushima. Wenje alikusudia lijadiliwe kwa dharura.
 
Tatizo la makelele bungeni ni spika na wenyevitu huwa wanakuja na majibu yao kabisa. Ccm hawataki ukweli.Ukweli ukielezwa chadema wanafujo! Zinduka wewe.
 
Acha ujuha wewe.
Jaribu kuangalia mabunge makini na machachari kama la Uingereza.
Wakati wa kutetea maslahi ya taifa ikibidi ng'ata mtu sikio.
 
Hahahahhaaaa,,teknolojia bhanaaaa haidanganyiiii,siku hiz waheshmiwa watakoma
 
Serikali imeumbwa kuleta details!hili bunge linaongozwa kishabiki sana!
 
Back
Top Bottom