Mwenyekiti amegoma na kusema mjadala wa bunge unaweza kuahirishwa tu pale nchi inapokuwa kwenye vita na kwa sasa nchi haiko kwenye vita. .
Kwenye red: Huyo mwenyekiti ama anaugua ugonjwa wa akili au anafikiri watanzania ni vilaza. Week iliyopita wakati baada ya wabunge weengi kuonesha kutokuunga mkono hoja wa bajeti ya Wizara ya Naishati na Madini, Waziri mkuu aliomba muda wa week tatu ili wajipange na baada ya hoja kukubalika, Spika Anne Makinda aliahirisha kikao cha bunge. Hakukuwa na kikao cha jioni. Sasa huyu mwenyekiti anataka kusema Tanzania ilikuwa kwenye vita siku hiyo? Wamemtoa wapi huyu mwenyekiti mzushi?