Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
hiyo idadi unayozungumzia inaongezwa wapi na kipindi gani. Upumbavu saa ingine bana. Unafikiria kwa kutumia makalio badala ya ubongo. Thinktank(fikiria utumbo)Kwa kanuni rahisi tu za ktakwimu 78% ni majority kwa hiyo ingekuwa busara sana kwa vyama vya upinza kudesign mikakati kuhakikisha wanapandisha hiyo idadi. Na njia rahisi nitarudia ni kuendeleza harakati walizoanzisha kina Slaa za ujenzi makini wa hoja kwa kuzingatiia kanuni. Kufukuzwa bungeni hauwezi kuwa mkakati endelevu katika siasa za kisasa. Lazima wajifunze kupambana na siasa kw kuzingatia realities kuliko kung'ang'ania kujenga taswira ya kuonewa na kulazimisha waonekane wameonewa hata kama ukweli hauoneshi hivyo
