Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
Wenje jemedari na bado mwaka huu mpaka mzinduke ngoma mnayocheza haiendani nawananchi nchi imeshachukuliwa Chadema ndo warun the parliament
Kuna Msukuma anaitwa Ezekiel Dibogo Wenje, kama sio mtu ya Kenya
mwenyekiti wa leo ni yule aliyezubaa kuliko wenyeviti wote nadhani anaitwa sylivester mabumba mbunge wa dole.
unamaanisha nini?Wafanyakazi wengi wawe wa umma au sekta binafsi huanza na mishahara kidogo na kupandishiwa kadri miaka inavyokwenda. Wabunge wetu ni tofauti, aliyeingia mwaka huu na ambaye yuko bungeni kwa miaka 25 wanalipwa sawa Mshahara + posho ya ubunge + mafuta ya kutembelea jimbo + perdiem wanapokuwa nje ya jimbo + posho za kila kikao; kwa vyovyote kuna ambao watachanganyikiwa na hicho kipato ambacho hawakutegemea kukipata
unamaanisha nini?
Wafanyakazi wengi wawe wa umma au sekta binafsi huanza na mishahara kidogo na kupandishiwa kadri miaka inavyokwenda. Wabunge wetu ni tofauti, aliyeingia mwaka huu na ambaye yuko bungeni kwa miaka 25 wanalipwa sawa Mshahara + posho ya ubunge + mafuta ya kutembelea jimbo + perdiem wanapokuwa nje ya jimbo + posho za kila kikao; kwa vyovyote kuna ambao watachanganyikiwa na hicho kipato ambacho hawakutegemea kukipata
Lakini sijawai kuona M/kiti akikalia kiti cha spika au ni ujinga wake tu hajui anachoongea
Kwani pale nje ya bunge hakuna kokoto? wangekuwa wanaingia na mawe kwenye mapochi na tu-briefucase twao......akikueletea ubishi tu unampa za uso......
Mwenyekiti amesoma alama za nyakati kwa kuwa hakumtendea HAKI Mheshimiwa WENJE!.mbunge wa nyamagana ezekia wenje aliyetolewa nje ya ukumbi wa bunge asubuhi ya leo amepunguziwa adhabu na kutakiwa kuhudhuria kikao cha jioni licha ya kanuni kumtaka asihudhulie vikao vyote vya bunge vya siku ya leo. Mwenyekiti amesema amempunguzia adhabu kwa kuwa wenje alitii amri ya kutoka nje.
Na bado, kwani vile viti havimove na zitapigwa tu.
Tunahitaji taarifa ya WENJE aliyotaka kusema katika kikao cha Bunge asubuhi atakapoingia hiyo saa 11.00 jioni aiseme, tuone kama Mwenyekiti atamfukuza tena!.Hatimaye ile adhabu iliyokua imkumbe muheshimiwa mbunge Wenje ya kutohudhuria kikao cha bunge kwasiku hii ya leo bungeni hatimaye mwemyekiti wa bunge amempunguzia adhabu muheshiwa Wenje na atakuwepo bungeni tena hapo saa 11 jioni leo.