Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

Unaishi kwenye medieval ages nyakati hizi za sayansi na teknolojia.Uchaguzi ni wako.Acha kujipa cheo cha mshauri wa kijiji.Ishi kwa kadiri ya furaha yako.Mimi leo hii nipo ghorofa ya tano.Sijui wewe unahangaikia wapi!Adios...Amigos!
WAIT AND YOU SHALL SEE
 
Mambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe ni mchafu kwenu; nyama yake msiile, wala msiguse maiti yake; mtakuwa mchafu nayo."

Mambo ya Kumbukumbu 14:8
"Nguruwe, ingawa ana maguzo, hayala; ni mchafu kwenu. Msimle nyama yake wala msimgoze."

Isaya 65:4
"Ambao hufuata njia za Bwana, wala hawalitambui mahali pa Mungu wao, wakalala juu ya ngozi za nguruwe, wakachukua kwa mikono yao vionjo vya wanyama wasio safi."

Isaiah 66:17
"Wao watakufa, kwa moto watakufa, watu wa mnyama na waliotumikia nguruwe, wale wanaojidai kuwa watakasifu, na waliopenda matusi."
Tumeokolewa kwa neema tunaishi kwa agano jipya! Yesu aliyafuta yote haya msalabani

Ndiyo, katika Agano la Kale, Mungu aliwakataza Waisraeli kula nguruwe kwa sababu ilikuwa mnyama mchafu kulingana na sheria za Walawi (Walawi 11:7-8 na Kumbukumbu 14:8). Hii ilikuwa sehemu ya sheria za kutakasa maisha ya Waisraeli kama taifa takatifu.

Lakini, katika Agano Jipya, mtazamo kuhusu vyakula ulibadilika
Marko 7:18-19
Yesu alisema ``mKile kinachoingia kwa kinywa hakimpatii mtu unajisi... hivyo aliitangaza vyakula vyote kuwa safi.”

Matendo 10:9-16

Mtume Petro alionyeshwa maono ya kila aina ya wanyama (wakiwemo wasio safi), na Mungu akamwambia: "Usikiharibu kitu ambacho Mungu amekitakasa."
 
Katazo limekaa kiafya zaidi kuliko Dhambi...mchafu, mtakufa coz ukipika vibaya or asipoiva minyoo itakuua....usilazimishe kwamba kula Nguruwe ni Dhambi....na andika la kula Nguruwe ni Dhambi halipo
HAya ni Maneno yako hayapo popote pale penye maandiko matakatifu
 
Tumeokolewa kwa neema tunaishi kwa agano jipya! Yesu aliyafuta yote haya msalabani

Ndiyo, katika Agano la Kale, Mungu aliwakataza Waisraeli kula nguruwe kwa sababu ilikuwa mnyama mchafu kulingana na sheria za Walawi (Walawi 11:7-8 na Kumbukumbu 14:8). Hii ilikuwa sehemu ya sheria za kutakasa maisha ya Waisraeli kama taifa takatifu.

Lakini, katika Agano Jipya, mtazamo kuhusu vyakula ulibadilika
Marko 7:18-19
Yesu alisema ``mKile kinachoingia kwa kinywa hakimpatii mtu unajisi... hivyo aliitangaza vyakula vyote kuwa safi.”

Matendo 10:9-16
Mtume Petro alionyeshwa maono ya kila aina ya wanyama (wakiwemo wasio safi), na Mungu akamwambia: "Usikiharibu kitu ambacho Mungu amekitakasa."
Mueleze huyo aelewe.
 
Agano jipya limekuja kupinga agano la kale?
 
Agano la kale ni stori nyingi, kama ukinipa neno la yesu mwenyew kuhalalisha nguruwe nitakuelewa
images (26).jpeg
 
Ingeanza kwa waasia hasa wachina ambao wanaongoza kwa kubugia kitimoto duniani.Je,unajua kwamba robo tatu ya nguruwe waliopo duniani wapo China?Kalaga baho ule senene!
 
Attachments

  • Screenshot_20250830_035700_YouTube.jpg
    Screenshot_20250830_035700_YouTube.jpg
    86.8 KB · Views: 13
Mbona huku kwetu, ni bei rahisi sana mbuzi katoliki?
😂😂😂😂😂 ngoja niende kwa kipalaa nikapate mapandee niya roast.
 
Back
Top Bottom