Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,356
- 11,067
Hi
YaisheHapo sawa tutaongea sasa,
Haya andiko jingine hili hapa Matendo 10:9-16 Mtume Petro alionyeshwa maono ya kila aina ya wanyama (wakiwemo wasio safi), na Mungu akamwambia: "Usikiharibu kitu ambacho Mungu amekitakasa."
Warumi 14:14
Paulo asema “Najua na kusadiki katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake...”
Kwa hiyo Kulingana na sheria ya Musa (Agano la Kale) Nguruwe ni haramu kwa Waisraeli.
Na Kulingana na neema ya Kristo (Agano Jipya) Vyote ni safi, ila mtu asimkoseshe mwingine kwa chakula chake.
All in all wewe Kama unaongozwa na dhamiri yako au imani fulani ya kutokula, ni sawa kabisaa.. Lakini katika Kristo, si lazima kushika sheria ya kutokula nguruwe.
na kusadiki katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake..