Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Anza kutoa maana.Unajua naanza ya kukamilisha?
Anza kutoa maana.Unajua naanza ya kukamilisha?
Kuanzia kushoto kwenda kulia tena kwa utulivu wa mwili, nafsi na roho kuongozwa.Biblia inasomwaje?
Ngoja kwanza🤤Biblia inasomwaje?
Hapa pazuri sana, naamin kila andiko Kwenye biblia linatafsiri yake kutoka kwa watu wabobevu katika theology na wenye nyadhifa kubwa Kwenye dini au huko Kwenye Kila mtu anatafsiri maandiko anavojisikia?Kuanzia kushoto kwenda kulia tena kwa utulivu wa mwili, nafsi na roho kuongozwa.
Naishi na mwanamke anakula nguruwe kwahyo hizo picha zako ni upumbavu wakat nawaona kila akijisikia kula na hela nampa mmNgoja kwanza🤤View attachment 3458479
Kwa kufuata miongozo sahihi.Si kama wewe unayesoma na kuchukua mstari mmoja ambao haujakamilika ili uje uutumie kubishana.Hapa pazuri sana, naamin kila andiko Kwenye biblia linatafsiri yake kutoka kwa watu wabobevu katika theology na wenye nyadhifa kubwa Kwenye dini au huko Kwenye Kila mtu anatafsiri maandiko anavojisikia?
Huwa unamla denda?Naishi na mwanamke anakula nguruwe kwahyo hizo picha zako ni upumbavu wakat nawaona kila akijisikia kula na hela nampa mm
Hivo jikite Kwenye mada
Ngoja kwanza🤤Biblia inasomwaje?
sasa si umuulize kwanza yeye haya maswali na uache kukasirika sio nzuri kiafya😆Naishi na mwanamke anakula nguruwe kwahyo hizo picha zako ni upumbavu wakat nawaona kila akijisikia kula na hela nampa mm
Hivo jikite Kwenye mada
Huyo mnyama sili jamaniAlf unamla!!!
Umeleta andiko gani ambalo nabishana nalo?Kwa kufuata miongozo sahihi.Si kama wewe unayesoma na kuchukua mstari mmoja ambao haujakamilika ili uje uutumie kubishana.
Dhambi ni mtazamo tuKatazo limekaa kiafya zaidi kuliko Dhambi...mchafu, mtakufa coz ukipika vibaya or asipoiva minyoo itakuua....usilazimishe kwamba kula Nguruwe ni Dhambi....na andika la kula Nguruwe ni Dhambi halipo
Uliomba andiko lolote?Easy,easy!You don't have to panic,chap!Umeleta andiko gani ambalo nabishana nalo?
Ww unamatatizo ya akili?
Nmeleta agano la kale likitaja moja kwa moja kuwa nguruwe haram, ww unaleta vioja halafu unasema mm nmekuja kubishana, hvi ww ni mzma?
Mm siwez mkataza mtu kula chochote kile maana wote tunadhambi tofaut tofaut sina wema huo wakusema nianze kusema nianze kumuhuburia asile et dhambi lakn nishamwambia ni haram kama ilivozinaa, wizi n.kNgoja kwanza🤤![]()
sasa si umuulize kwanza yeye haya maswali na uache kukasirika sio nzuri kiafya😆
Ndo maana nikuambia ww sio mzma unatatzo la Neva, nani aloanza shobo Kwa mwenzie?Uliomba andiko lolote?Easy,easy!You don't have to panic,chap!
Hapo sawa tutaongea sasa,Mm siwez mkataza mtu kula chochote kile maana wote tunadhambi tofaut tofaut sina wema huo wakusema nianze kusema nianze kumuhuburia asile et dhambi lakn nishamwambia ni haram kama ilivozinaa, wizi n.k
Kwahyo kula kutokula ni juu yake mwenyw maana hata zinaa hatujaacha tunaendelea nayo japo ni haram pia
Lakn kukumbushana hiki ni haram na hiki halal ni jukumu letu haijalishi ni kitu gani ilimrad unajua unachofanya dhambi inatosha sana hata ukichomwa moto uko mbinguni unajua uloyatenda toka duniani ni dhambi
Sio kapole haka unakaonaga tu kwenye sahani eeh😂Daah huyu kiumbe nkimuona Roho yangu inataradadi Mashalaah Yan Mwenyezi Mungu tunakushukuru sana kutuletea haka Kamnyama kenyewe Kapolee🫢🫢😋😋😘🐖🐖
Wewe kwa hiyo head yako kama punje ya mchele hauhitajiki kujibiwa (siyo kupingwa) kwa andiko.Kuna vitu vipo wazi vinajieleza tu bila maandiko.Kwa mfano,mtu akikuambia amekunya na unayaona aliyokunya,utambishia na kumtaka akuoneshe utumbo wake?Ndo maana nikuambia ww sio mzma unatatzo la Neva, nani aloanza shobo Kwa mwenzie?
Mm nmeleta andiko na ww ungepinga kwaandiko sio mm nikuombe andiko wakati sikuanza kuquote