Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Kumbe nakuwa sijui?Analiwa tu.eeeeh utajua hujui
Kumbe nakuwa sijui?Analiwa tu.eeeeh utajua hujui
hata Sumu inaliwa ila madhara yake kifoKumbe nakuwa sijui?Analiwa tu.
Yaani hii kama KOna alivyo mbaya🤣
Kitimoto ni Haram
Haramu ni wewe usiyekula kitimotoKitimoto ni Haram
Lini kumla my wetu ikawa sumu?hata Sumu inaliwa ila madhara yake kifo
SawaHaramu ni wewe usiyekula kitimoto
Tawile mtaalamu.🫸🫷😎Yaani hii kama K
Sura nje mbayaaa ila we ingiza mashine uone utamuu..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
utajua hujui ngoja utaacha kwa kupenda au kutokupenda huu ni wakati wa Yehova Mungu na kristo Olumba olumba obuLini kumla my wetu ikawa sumu?
Hayo yapp hata kwenye ng'ombe,kondoo,mbuzi na mboga za majani zinazolimwa mchambawima.Wewe chagua utawala kwenye kipi kati ya hivyo.utajua hujui ngoja utaacha kwa kupenda au kutokupenda huu ni wakati wa Yehova Mungu na kristo Olumba olumba obu
narudia tena we kula kwa kuwa ujui tupo wakat gani hakuna mtu atakuja kukufundisha kula mboga za majan na kuacha nyama ......THIS IS WARNING WE ARE AT THE END OF ERAHayo yapp hata kwenye ng'ombe,kondoo,mbuzi na mboga za majani zinazolimwa mchambawima.Wewe chagua utawala kwenye kipi kati ya hivyo.
Unaishi kwenye medieval ages nyakati hizi za sayansi na teknolojia.Uchaguzi ni wako.Acha kujipa cheo cha mshauri wa kijiji.Ishi kwa kadiri ya furaha yako.Mimi leo hii nipo ghorofa ya tano.Sijui wewe unahangaikia wapi!Adios...Amigos!narudia tena we kula kwa kuwa ujui tupo wakat gani hakuna mtu atakuja kukufundisha kula mboga za majan na kuacha nyama ......THIS IS WARNING WE ARE AT THE END OF ERA
Ona alivyo mbaya🤣
Ile ya "ondoa kimoja ili uendelee kula" ningeondoa sahani tu.Vingine vyote nabugia.Mashaallah=Maisha-raha!
Ni Hatari Sana Akishambulia Akitokea Pembeni....😋😋😋
Alf unamla!!!Ona alivyo mbaya🤣
Sizitaki mbichi hizi.Mudi alishindwa kuafford hela ya kitimoto akailaani ati haramu.
Agano jipya linasemaje?Agano la kale linasemaje
Katazo limekaa kiafya zaidi kuliko Dhambi...mchafu, mtakufa coz ukipika vibaya or asipoiva minyoo itakuua....usilazimishe kwamba kula Nguruwe ni Dhambi....na andika la kula Nguruwe ni Dhambi halipoMambo ya Walawi 11:7-8
"Nguruwe ni mchafu kwenu; nyama yake msiile, wala msiguse maiti yake; mtakuwa mchafu nayo."
Mambo ya Kumbukumbu 14:8
"Nguruwe, ingawa ana maguzo, hayala; ni mchafu kwenu. Msimle nyama yake wala msimgoze."
Isaya 65:4
"Ambao hufuata njia za Bwana, wala hawalitambui mahali pa Mungu wao, wakalala juu ya ngozi za nguruwe, wakachukua kwa mikono yao vionjo vya wanyama wasio safi."
Isaiah 66:17
"Wao watakufa, kwa moto watakufa, watu wa mnyama na waliotumikia nguruwe, wale wanaojidai kuwa watakasifu, na waliopenda matusi."