Santana JF-Expert Member Joined Apr 23, 2019 Posts 311 Reaction score 956 Apr 18, 2026 #2 Kwa Mahitaji ya milango ya Hardwood(Mninga, mkongo nk.) pamoja na fittings zake Tuwasiliane 0621021782
Kwa Mahitaji ya milango ya Hardwood(Mninga, mkongo nk.) pamoja na fittings zake Tuwasiliane 0621021782
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,738 Reaction score 24,502 Apr 18, 2026 #3 Ilala Gerezani uhakika 100% Japo hata mtaani unaweza kubahatisha
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,324 Reaction score 111,520 Apr 18, 2026 #4 Unataka kifanane kama hicho kilivyo au unataka kitasa ambacho kina mechanism kama hivyo?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,873 Reaction score 77,120 Apr 18, 2026 #5 Tembea Kariakoo Kule Gerezani Kuna Vyote