ashraffbale
New Member
- Jun 3, 2026
- 3
- 4
Habarini
Mimi ni mwanaume mwenye umri mkubwa tu na nina zaidi ya miaka 25 nipo Dar es salaam, nimeshawahi kuwa kwenye mahusiano na wanawake mbali mbali lakini sijawahi kukutana na mwanamke mwenye tattoo.
Nachojiuliza mbona mitandaoni nawaona sana, kwenye tattoo artists nawaona sana. Je wanawake waliojichora tattoo wanapatikana wapi?