KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

1: Doctors

2: Marafiki wa mitandaoni

3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao

4: Boda Boda

5: Boss wake kazini

6: Garden boys

7: Graduate alieko kitaa muda wote

8: Mfanyakazi mwenzio

9: Mpangaji mwenzio/Jirani

10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa

11: Wauzaji dukani
1; Wauza samaki iwe ni sokoni,dukani au ziwani.
2; Wauza nyama.
3;Wapaka rangi kwenye kucha hasa wale wanaotembea na kuzunguka kitaa.
Sasa hiyo orodha yako ianzie namba nne na iendelee huko inakoenda.
 
1: Doctors

2: Marafiki wa mitandaoni

3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao

4: Boda Boda

5: Boss wake kazini

6: Garden boys

7: Graduate alieko kitaa muda wote

8: Mfanyakazi mwenzio

9: Mpangaji mwenzio/Jirani

10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa

11: Wauzaji dukani
Sasa si ungeandika tu mtu yeyote aliye karibu nae
 
1: Doctors

2: Marafiki wa mitandaoni

3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao

4: Boda Boda

5: Boss wake kazini

6: Garden boys

7: Graduate alieko kitaa muda wote

8: Mfanyakazi mwenzio

9: Mpangaji mwenzio/Jirani

10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa

11: Wauzaji dukani
Waume za watu ndio wanaongoza kula wale za watu
 
1: Doctors

2: Marafiki wa mitandaoni

3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao

4: Boda Boda

5: Boss wake kazini

6: Garden boys

7: Graduate alieko kitaa muda wote

8: Mfanyakazi mwenzio

9: Mpangaji mwenzio/Jirani

10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa

11: Wauzaji dukani
Hahaha
 
Iizi mada nazipenda sana sio mambo ya siasa! Tuongezee madini mkuu tuburudike
 
1: Doctors

2: Marafiki wa mitandaoni

3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao

4: Boda Boda

5: Boss wake kazini

6: Garden boys

7: Graduate alieko kitaa muda wote

8: Mfanyakazi mwenzio

9: Mpangaji mwenzio/Jirani

10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa

11: Wauzaji dukani
Kama hujataja wanajeshi, nakataa
 
Hii sio intelligensia, ni hisia... madaktari wanasiri nyingi za wake zenu, uchafu, mimba za nje, magonjwa ya zinaa, michepuko yao, uzazi wa mpango kwa siri, nguvu zenu za kiume, nk...niishie hapo.
 
Back
Top Bottom