Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,284
Kwanini unatoa hukumu wakati mtuhumiwa bado huko mahabusu??kama kuna ndugu wengine kwanini mama alikua anamlilia kabendela?Kwani alizaliwa peke yake? Lini mshitakiwa aliwahi ruhusiwa kwenda kwenye mazishi? Au hii iwe special kwa huyu, mwandishi habari? Wakulima je? Wafugaji je?
Tusiishie kusikitika, tuepuke kujiingiza kwenye mambo ya kujitakia. Kulikuwa na kila njia ya kuachana na hayo lakini naona alijivunia ushujaa.