Cha ajabu nini? ukiona hivyo jua hiyo ni pesa ambayo wako navielelezo nayo...mwenyekiti kazi anayo hapo.
Ufufuo wa katiba mpya hauwezi kuutenganisha na Mbowe na Chadema. Tuwe wangwana tuepuke dhambi za walio wapoka wananchi haki zao za msingimpaka atoke atakuta mama kisha maliza na mchakato
Kwa kwa stunt brains
Kiingereza cha kuunga unga kipigwe marufuku humu JF. If you are not comfortable with the Queen's language, please do not tarnish it here.Thats his your role model
Simu moja hiyo ni kwa nani!?Kwa mtu mwenye akili, ataona bora waje kuliko wasipokuja.. maana wao ni simu moja tu
Mbowe ni mpigania haki anayeitwa gaidi na wezi na wauaji. Huyo rais wa Zambia anayeapishwa, naye si alikuwa gerezani na kesi ya ugaidi. Leo Samia kama zuzu anakwenda kuhudhuria akiapishwa. Wakati naye ana "gaidi" wake kamtia gerezani. Mfyuuu!? Akili? Au matope?Tulieni malaika wenu ashughulikiwe, sisi Magufuli wetu mnayemwita mwizi ameshaondoka.
Samia kaenda Zambia kushuhudia "gaidi" akiapishwa kuwa raisi. Wakati naye ana "gaidi" wake kamtia gerezani. Kama zuzu vileBwashee unasema?
Mbowe tangu awe mwanasiasa wa upinzani ameshawahi kupigania jambo gani na likafanikiwa?Mbowe ni mpigania haki anayeitwa gaidi na wezi na wauaji. Huyo rais wa Zambia anayeapishwa, naye si alikuwa gerezani na kesi ya ugaidi. Leo Samia kama zuzu anakwenda kuhudhuria akiapishwa. Wakati naye ana "gaidi" wake kamtia gerezani. Mfyuuu!? Akili? Au matope?
Vichwa vibovu wanahoji kwanini inasemekana kabambikiwa, historia ya Jana ilishafutika vichwani mwao.Wale wanaolaumu watu wale wanaotilia shaka mashtaka dhidi ya Mbowe, kwamba wao wanaamini serikali na jeshi la polisi ni watakatifu sana na hawajawahi kubambikia watu kesi, wakumbuke kuwa huyu huyu wanayehangaika naye walishampa kesi ya Aqulina na akashinda. Kama hali ndiyo hii, kwanini tusiwatilie mashaka tena?
Maskini mnahangaika Sana kumtetea gaidiWale wanaolaumu watu wale wanaotilia shaka mashtaka dhidi ya Mbowe, kwamba wao wanaamini serikali na jeshi la polisi ni watakatifu sana na hawajawahi kubambikia watu kesi, wakumbuke kuwa huyu huyu wanayehangaika naye walishampa kesi ya Aqulina na akashinda. Kama hali ndiyo hii, kwanini tusiwatilie mashaka tena?
Basi ngoja tukutetee wewe haramiaMaskini mnahangaika Sana kumtetea gaidi
USSR
Acha upuuzi, tumia ubongo. Mimi nataka haki.Wasalimu misukule wenzako wa lumumba!Ova!