Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Mfate dereva MPE 10 ya maji hakika utaona matokeo yake. Kwenye speed 30 anaweka 80.SAA 12:01 jion utakuwa dar
Aisee unamshauri akaharakishe safari ya akhera!
 
inabidi mhindi aongeze kipengele cha mabasi, mbona meridianbet waliweka uchaguzi wa US na hillary clinton akachana mikeka ya watu kinoma huku teamTrump wakibeba mzigo.
Hiyo rahisi kupanga matokeo. Uliza kwa nini VPL haimo kwenye bet yoyote
 
Hahah mkuu...nimecheka na hako Ka slogan.. Say it again please
 
Niliwahi panda hili gari na mausingizi yangu yote sikulala safari nzima. Hapana sio kwa mwendo ule jamani
Hii gari huwa sipati picha siku ikipata ajali itakavyokuwa maana kwa mwendo ule. Hapana
Speed ile ile hata kweny bums ilifika kipind hata bums zinakwepwa yaan dereva anaipitisha pemben mwa bums kwahiyo tairi za upande mmoja tu ndiyo zinapita. Ni hatari sana hii gari kwa afya.
 
Bila shaka... Fika ubungo no 40 utajipatia tikiti yako kwa bei nafuu. Bila kusahau popcorn na maji uwapo njiani. Karibu The Kirikiri nation
Mie ticket nakata kwa simu tu hapo ubungo nikifika ni kukabidhiwa ticket na kuingia kwenye basi..mpe hi dada Nurat, ndio agent wangu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…