Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

èl çâpítöl.
sasa ndan ya capital
 
nimeiona hapa dodoma dirisha upande wa kulia kama imewekewa makaratas
 
Umefunga mkanda mkuu?

Umeiona ilipo ile nyundo ya kuvunjia dirisha pia?
 
Dar mwanza 45000,njian singida kula 5000,maji unapewa ukifika manyon,ukifika dodoma unanunua redbul moja 3000,unachangamka huku unatazama picha ya kingwendu,unafika moro saa mbili na dk 26,mbili na dk 40 pale unanunua korosho 2000 unaondoka mdogo mdogo mpk chalinze saa 4:56,pale linachanganya mpka 00:13 unapigiwa honi lango la ubungo. Ukishuka kama unaenda mbagala unachukua daldala pale mataa mpk bugurun 400,pale unachukua gar nyingine ya mbagala muda huo ni saa 7:23,sehem nying bado magar yapo,unafika mbagala kwa 400,ukiahuka unachukua boda mpk home buku mbili. Unalala kesho saa tano asbhi. Piga hesabu hapo
 
Ngorika ni Nomaa Mkuu...
Ilikuja kirumo na machame safari lakini azikuweza kudumu Kwenye kwa sababu abiria wengi wa kaskazn awapendi mwendo kasi...... Walianza kukosa abiria na zimekuwa gari za kawaida Kwenye speed....
 
Sitoki kwenye huu uzi, hadi saa sita usiku...mkuu [HASHTAG]#sexer[/HASHTAG] endelea kutupa taarifa,
 
isamilo ya santiago na nyingne ndio zinapita sasa dodoma kisbo ipo mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…