Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,770
- 43,350
Haaahaa 😊 ni research no right to speak kaka..Mwanza kuna wanawake wazuri Sana halafu wengi killmita hazijasoma
Ntafanya tafitii
Haaahaa 😊 ni research no right to speak kaka..Mwanza kuna wanawake wazuri Sana halafu wengi killmita hazijasoma
Wapo vizuri mno Mwanza kwanza wengi wana nyashi, ngozi laini, wasafi, hawana Mambo mengi na ni waelewa kama unajua kupiga Domo uta wala wengi Sana. Mwezi wa Sita naweza kuja tena Mwanza nipige kambi ya wiki mbili... Siwafuati malaya wanao jiuza, nawafuata mademu wa kawaida ambao sio malaya wanao jiuzaHaaahaa 😊 ni research no right to speak kaka..
Ntafanya tafitii
Kwenye tafiti zako za uchawi nini umegundua? What is the secret behind uchawi kuwa kwenye mrengo wa kukomoana kuumizana kuuana na kila jambo baya? Hakuna uchawi mzuri tutengeneze hata supersonic plane?Siasa za uchawi hazipo hivyo. Uchawi upo kwenye mlengo wa uharibifu( ufisadi) na sio kujenga
Stay tuned. Nitakuja na ripoti kamili soon.Kwenye tafiti zako za uchawi nini umegundua? What is the secret behind uchawi kuwa kwenye mrengo wa kukomoana kuumizana kuuana na kila jambo baya? Hakuna uchawi mzuri tutengeneze hata supersonic plane?
Tuwape mauwaaaWapo vizuri mno Mwanza kwanza wengi wana nyashi, ngozi laini, wasafi, hawana Mambo mengi na ni waelewa kama unajua kupiga Domo uta wala wengi Sana. Mwezi wa Sita naweza kuja tena Mwanza nipige kambi ya wiki mbili... Siwafuati malaya wanao jiuza, nawafuata mademu wa kawaida ambao sio malaya wanao jiuza
Nimekubali kuna sehemu wandewa hawataki changes.Mwanza ni noma
Bwashee upoNaomba nimwalike Infropreneur , kaka mkubwa Kiranga
Bila kumsahau kaka angu mkuu ndugu yangu kaka angu min -me
Kwanini kwanza igogo wanaishigi waha na wanyamwezi tuG morning shem!
Igogo hapana aisee😃
Afu wewe siyo kibaka wa igogo kweli?Tungekuwa wachawi ni rahisi kufanya mchanganuo.
Nilistaafu ingawa ilikuwa ni "Igogo lya hakaya likasenyentelagwa"!Afu wewe siyo kibaka wa igogo kweli?
Kuna Same napo, hapana jina ila balaa lake ni hatari.....Weee ukerewe hakuna wa kuwafikia! Igogo ni mtaa tu huko mwanza!
Igogo ni uswahilini, wapi na wapi kwa msukuma!Kwanini kwanza igogo wanaishigi waha na wanyamwezi tu
Mbona mimi sijawahi ona msukuma au mchaga anaishi igogo?
Wana elope hatari!?Kuna Same napo, hapana jina ila balaa lake ni hatari.....
Kwamba umepiga wanawake wa mwanza nzima?Okay mimi pia Mwanza nimekuja Mara tatu. Mara ya kwanza kwa ability ya research. Mara ya pili for other official issue. Mara ya tatu nilikuja kufanya utalii wa kingono. Wanawake wa Mwanza nawasifu
Wale jamaa wakikuamulia hutoboi, kipindi nakua kuna familia moja nlishuhudia wanakufa mmoja mmoja wakaisha wote akabaki Baba,Wana elope hatari!?
Watoto wa wawachawi sioMkuyuni finest.... kijereshi HOOD..igoma stand up.