Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

Sio sahihi mkuu kwamba mtu kuwa kama Bakhresa iwe ndio kipimo cha nguvu ya uchawi, kwa sababu nje ya uchawi tumekuwa tukiambiana kwamba ili mtu ufanikiwe katika maisha ni kufanya kazi kwa bidii lakini tukisema tufanye kipimo cha nguvu ya kufanya kwa bidii ni kuwa kama Bakhresa basi tunaweza kuhitimisha kuwa kufanya kazi kwa bidii hakuna nguvu kwenye kuweza kufanikiwa katika maisha maana wenye kufanya kazi kwa bidii ni wengi ila hawajaweza kuwa kama Bakhresa.
Facts
 
Hiyo Igogo kuna wakerewe na wajita kibao. Kuna warangi, waha, wamanyema, wanyamwezi, wasukuma, wazinza etc. Zone namba chafu hizo. Ipo karibu na katikati ya jiji. Ni kama vile Magomeni.
Ebu fafanua kidogo mkuu kwanini iwe kama Magomeni.!

Vipi Magomeni itishe anga la mikoani.?
 
Ebu fafanua kidogo mkuu kwanini iwe kama Magomeni.!

Vipi Magomeni itishe anga la mikoani.?
Magomeni ni hatari sana mkuu. Kuna ushirikina wa Hali ya juu sana hapo kaka.. Pia Magomeni IPO karibu na mjini ilivyo Igogo karibu na City Center ya Rock City
 
MAisha ya sisi binadamu hapa duniani ni magumu sana na yanachangamoto sijui tufanyeje, 😢
 
Mkuu LIKUD hapo kwa huyo Sangoma ni anatibu bure? Nime ku pm naona kimya. Hebu fafanua vizuri please 🙏🙏🙏
 
Yes anatibu bure. Ukisha pata matokeo ndo unaenda kutoa shukurani..
Very interestingly. Na matokeo yanakuwaga ya muda gani yani kama nina jambo langu nimeenda Leo Matokeo Naya pata baada ya muda gani?
 
Very interestingly. Na matokeo yanakuwaga ya muda gani yani kama nina jambo langu nimeenda Leo Matokeo Naya pata baada ya muda gani?
Mkuu unauliza matokeo baada ya muda gani tena? Kama mtu kadhulumu Mali au nafsi ya mtu then ndugu zake Waka peleka kesi kilingeni kama Leo halafu kesho asubuhi wanapigiwa simu jamaa kazimika ghafla itakuwa sembuse kazi ndogo ndogo hizo kama biashara etc. Huyo Sangoma ni hatari dawa zake zinafanya kazi kama chumvi kwenye mboga uliweka inakolea hapo hapo unakula.. Ogopa sana mganga anaekwambia anafanya kazi yako ukifanikiwa ndio ukalipe shukurani ni hatari sana.
 
Igogo ndio naisikia leo. Miaka na miaka nilikuwa nasikia Ukerewe, handeni na Sumbawanga ndio vinara wa Ulozi.

Kumbe kuna Mkubwa wao 😂😂😂😂
Igogo inaanzia Tanesco ukiwa unatoka mjini hadi maeneo ya Voil, pandisha hadi kule milimani, pandisha kama unaenda bugando kupitia kwa bibi Nyau (Huku inaenda kuungana na Bugarika) yote hiyo ni igogo
 
Igogo inaanzia Tanesco ukiwa unatoka mjini hadi maeneo ya Voil, pandisha hadi kule milimani, pandisha kama unaenda bugando kupitia kwa bibi Nyau (Huku inaenda kuungana na Bugarika) yote hiyo ni igogo
Bibi Nyau au Bibi fisi? Nilifanya utafiti kuhusu Bibi fisi nikapata story zake nyingi sana hadi Nyerere aliwahi kumnyooshea mikono juu. Nyumba yake ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara akagoma kupisha anasema happ kuna makaburi ya mababu zake nasikia kila walipo enda kubomoa na trekta wana kutana na kundi la. Mamia ya fisi na kisimia kikubwa sana mwisho wa siku wakaamua kumuacha akae so barabara ikampisha ye ye na sio ye ye kupisha barabara
 
Yeah Bibi fisi, ni kweli nyumba yake ilikuwa katikati ya barabara
 
Katikati ya Igogo na Mkuyuni kuna kaeneo kanaitwa SHEDE, zamani palikuwa pamoto kwa ushirikina, majambazi walikuwa wanajificha kwenye majabali yaliyoko eneo hilo, sijui siku hizi pakoje
Mwanza na memory napo sanaa sanaa
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom