Hahaha swali zuri. Sijui chochote kuhusu Igogo hata mimi naamini jamaa kuna chumvi kazidisha.why Igogo yenyewe isiwe the richest place? Kwanini nguvu yote itumike kuharibu wengine badala ya kujenga kwao na kuwaletea maendeleo maeneo hayo?
Okay mimi pia Mwanza nimekuja Mara tatu. Mara ya kwanza kwa ability ya research. Mara ya pili for other official issue. Mara ya tatu nilikuja kufanya utalii wa kingono. Wanawake wa Mwanza nawasifuMimi mwanza nimezaliwa nimekulia ila mwanza siijui ..sijatembea sanaaaaaa.
Mkuyuni...njia panda butimba...iseni..then nyegezi, mkolani, buhongwa
Hata Igogo ni hivyo. Hata dar kuna sehemu ipo hivyo hivyo. Siitaji kwa sababu ndio nimezaliwa hapo.Hahaha swali zuri. Sijui chochote kuhusu Igogo hata mimi naamini jamaa kuna chumvi kazidisha.
Ila kuna sehemu ipo Manyara ile sehemu iko nyuma kwa kila kitu wenyeji wanasema babu zao walizindika na kunuia kwamba baya lisije wala zuri lisije ibaki kama ilivyo.
Mtu aliyeondoka mwaka 2009 anarudi 2026 anakuta mambo yapo vile vile. Mentality ya wenyeji ile ile, maeneo yapo vile vile, wageni wanapakimbia huko ndiyo kwa kina Tlaatlaah
Weee ukerewe hakuna wa kuwafikia! Igogo ni mtaa tu huko mwanza!
Igogo wamejaa wakerewe na wajita kibao. Plus warangi, waha, wamanyema, wanyamwezi, wasukuma etc. Ni kitongoji Kipp karibu na Mwanza CBD ni mwenda kama lisaa limoja kwa miguu au dakika 20 kwa gariIgogo ndio naisikia leo. Miaka na miaka nilikuwa nasikia Ukerewe, handeni na Sumbawanga ndio vinara wa Ulozi.
Kumbe kuna Mkubwa wao 😂😂😂😂
Igogo wanaenda kununua vilingeni lakini hizo sehemu ulizo taja hapo wanatengeneza wenyewe, yaani ndio wazalishaji.Igogo ndio naisikia leo. Miaka na miaka nilikuwa nasikia Ukerewe, handeni na Sumbawanga ndio vinara wa Ulozi.
Kumbe kuna Mkubwa wao 😂😂😂😂
Is it possible kwamba sometimes tunaita kurogwa pale ambapo mtu anapanda halafu anashindwa ku-maintain success kutokana na pressure, decisions au lifestyle?Siasa za uchawi haziruhusu maendeleo. Hazitaki mtu afanikiwe. Zinataka wote muwe masikini. Ukionyesha dalili za kujiondoa kwenye u masikini wanakuroga ili wote muendelee kuwa sawa. They need partners in sufferance
Logic belief systems zikikaa muda mrefu bila kupingwa au kubadilishwa na elimu/experience mpya, zinakuwa normalized.Hahaha swali zuri. Sijui chochote kuhusu Igogo hata mimi naamini jamaa kuna chumvi kazidisha.
Ila kuna sehemu ipo Manyara ile sehemu iko nyuma kwa kila kitu wenyeji wanasema babu zao walizindika na kunuia kwamba baya lisije wala zuri lisije ibaki kama ilivyo.
Mtu aliyeondoka mwaka 2009 anarudi 2026 anakuta mambo yapo vile vile. Mentality ya wenyeji ile ile, maeneo yapo vile vile, wageni wanapakimbia huko ndiyo kwa kina Tlaatlaah
😁😁😁Wahuni ni zao la ushirikina
100 % facts.Na ndicho kinacho wa fanya waheshimike huko vilingeni kwa sababu ni wateja wazuri. Ni kama wanavyo heshimika wahaya vituo vya polisi wakipeleka kesi wapo serious sana kesi zao wakienda kushtaki polisi au mahakamaniIgogo wanaenda kununua vilingeni lakini hizo sehemu ulizo taja hapo wanatengeneza wenyewe, yaani ndio wazalishaji.
Yes inawezekana but most of the time you cannot differentiate kwa sababu katika hicho ndipo washirikina hutuma negativenergy kwa victim hao. Sasa hiyo negative energy inaweza ku influence your decisionIs it possible kwamba sometimes tunaita kurogwa pale ambapo mtu anapanda halafu anashindwa ku-maintain success kutokana na pressure, decisions au lifestyle?
Naelewa unachosema lakini swali ni how do we differentiate kati ya negative energy na vitu vya kawaida kama stress, trauma, mazingira mabaya au peer pressure? Maana vyote vinaweza ku influence decisions vile vile.Yes inawezekana but most of the time you cannot differentiate kwa sababu katika hicho ndipo washirikina hutuma negativenergy kwa victim hao. Sasa hiyo negative energy inaweza ku influence your decision
Aiseee😂Hiyo Igogo kuna wakerewe na wajita kibao. Kuna warangi, waha, wamanyema, wanyamwezi, wasukuma, wazinza etc. Zone namba chafu hizo. Ipo karibu na katikati ya jiji. Ni kama vile Magomeni.
😄😄😄😄Hahaha swali zuri. Sijui chochote kuhusu Igogo hata mimi naamini jamaa kuna chumvi kazidisha.