venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 1,677
- 1,592
Wanawake wa africa bwana
Ilikuwa siku kadhaa zilizopita
Kuna mwanaume mmoja anasoma chuo cha udaktari IMTU Ana mke wake ni mwalimu wa shule ya msingi maeneo ya salasala,
Mke kaishi na mme wake miaka takriban 3, Ila mme wake anaendaga sana Scandinavia countries, kila wakati Ana mualiko, imefika siku mwanaume kapata ugeni kutoka uko ulaya kumbe ni mwanamke wake wa kizungu,
Mke hakugundua hata kidogo mara wakilala nje bila kurudi anakubali maana hakujua,
Sasa dili limebumburuka uyo mwanamke ndo asomesha jamaa na ndo anawaweka mjini hata nyumba za kupanga kawapangia yeye,
Mwanamke kafurukuta eti anataka amuache mme, lakin mme anasema hapana, imefika hatua akamweleza kwamba mama watoto hata ulivyokuwa unasoma Tanga yeye ndo alikuwa ananitumia mimi hela nakutumia nakudanganya ni hela ya bodi,
Hata upasuaji wa mama yako uliofanyika india kagharamia yeye nikakudanganya wanafunzi wamechangia, hakuna wa kuchangia milion 25 mwanafunzi,
Shule anayosoma mdogo wako nilikudanganya ni mfadhili anamlipia hapana ni huyu huyu mwanamke,
Hata kale katoto ni kakwangu nilizaa na huyu mzungu,
Mwanamke kasema pamoja na hayo anaondoka,
Wanawake bwana tulia ule maisha acha wenge,
Anasema atamuachisha mdogo wake shule, na gari walilonalo kama zawadi toka kwa mzungu huyo halipandi tena atalichoma
Lakin eti anaomba ushauri unamshauri nini?