Kisa cha kweli:mke agundua mme kazaa na mzungu na ndo anawaweka mjini

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,591
Wanawake wa africa bwana
Ilikuwa siku kadhaa zilizopita
Kuna mwanaume mmoja anasoma chuo cha udaktari IMTU Ana mke wake ni mwalimu wa shule ya msingi maeneo ya salasala,

Mke kaishi na mme wake miaka takriban 3, Ila mme wake anaendaga sana Scandinavia countries, kila wakati Ana mualiko, imefika siku mwanaume kapata ugeni kutoka uko ulaya kumbe ni mwanamke wake wa kizungu,

Mke hakugundua hata kidogo mara wakilala nje bila kurudi anakubali maana hakujua,

Sasa dili limebumburuka uyo mwanamke ndo asomesha jamaa na ndo anawaweka mjini hata nyumba za kupanga kawapangia yeye,

Mwanamke kafurukuta eti anataka amuache mme, lakin mme anasema hapana, imefika hatua akamweleza kwamba mama watoto hata ulivyokuwa unasoma Tanga yeye ndo alikuwa ananitumia mimi hela nakutumia nakudanganya ni hela ya bodi,

Hata upasuaji wa mama yako uliofanyika india kagharamia yeye nikakudanganya wanafunzi wamechangia, hakuna wa kuchangia milion 25 mwanafunzi,

Shule anayosoma mdogo wako nilikudanganya ni mfadhili anamlipia hapana ni huyu huyu mwanamke,

Hata kale katoto ni kakwangu nilizaa na huyu mzungu,

Mwanamke kasema pamoja na hayo anaondoka,

Wanawake bwana tulia ule maisha acha wenge,

Anasema atamuachisha mdogo wake shule, na gari walilonalo kama zawadi toka kwa mzungu huyo halipandi tena atalichoma

Lakin eti anaomba ushauri unamshauri nini?
 
Daah mambo mengine bana kweli hasira ni hasara....
Ushauri wa nini na kumbe wameshazaa wote!??

Ukiona mke kama huyo anae kiburi basi kuna mambo mengine nyuma ya pazia mume nae hayajui
 
Haha
 
Duuh wanawake usiwapimie jambo lolote, anaweza toka ghorofani akaenda kwenye kota.
 
Wanawake wa africa bwana
Ilikuwa siku kadhaa zilizopita
Kuna mwanaume mmoja anasoma chuo cha udaktari IMTU Ana mke wake ni mwalimu wa shule ya msingi maeneo ya salasala,

Mke kaishi na mme wake miaka takriban 3, Ila mme wake anaendaga sana Scandinavia countries, kila wakati Ana mualiko, imefika siku mwanaume kapata ugeni kutoka uko ulaya kumbe ni mwanamke wake wa kizungu,

Mke hakugundua hata kidogo mara wakilala nje bila kurudi anakubali maana hakujua,

Sasa dili limebumburuka uyo mwanamke ndo asomesha jamaa na ndo anawaweka mjini hata nyumba za kupanga kawapangia yeye,

Mwanamke kafurukuta eti anataka amuache mme, lakin mme anasema hapana, imefika hatua akamweleza kwamba mama watoto hata ulivyokuwa unasoma Tanga yeye ndo alikuwa ananitumia mimi hela nakutumia nakudanganya ni hela ya bodi,

Hata upasuaji wa mama yako uliofanyika india kagharamia yeye nikakudanganya wanafunzi wamechangia, hakuna wa kuchangia milion 25 mwanafunzi,

Shule anayosoma mdogo wako nilikudanganya ni mfadhili anamlipia hapana ni huyu huyu mwanamke,

Hata kale katoto ni kakwangu nilizaa na huyu mzungu,

Mwanamke kasema pamoja na hayo anaondoka,

Wanawake bwana tulia ule maisha acha wenge,

Anasema atamuachisha mdogo wake shule, na gari walilonalo kama zawadi toka kwa mzungu huyo halipandi tena atalichoma

Lakin eti anaomba ushauri unamshauri nini?
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Huyo mwanamke ni kilaza aisee sijapata kuona duniani hapa.

Atakuwa hatumii akili kufikiria bali anatumia makalio kufikiria.

Km ni kweli jamaa kafanya hivyo anapaswa kupewa hongera.

Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
 
Ushawahi kukutwa na situation kama hii?au ndio ile tuna comment tuonekane
 
Huyo mwanamke ni kilaza aisee sijapata kuona duniani hapa.

Atakuwa hatumii akili kufikiria bali anatumia makalio kufikiria.

Km ni kweli jamaa kafanya hivyo anapaswa kupewa hongera.

Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe

Geuza hii story iwe ni wewe mke wako yuko na bwana wa kizungu halafu huyo mzungu ndio anakuweka mjini. Ukijua je utapotezea na kuzidi kumpenda mkeo?
 
Huyo mwanamke ni kilaza aisee sijapata kuona duniani hapa.

Atakuwa hatumii akili kufikiria bali anatumia makalio kufikiria.

Km ni kweli jamaa kafanya hivyo anapaswa kupewa hongera.

Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
Ungekuwa mwanamke usingeandika huu ujinga hapa
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom