Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Chato kuna viwanja vinagawanywa waje tu watapewa,
 
Mnapitiliza nyinyi msiwe wajinga kiasi hata mtoa thread ni mjinga ivi mnajua kiribati ilipo kwenye raman au mnadhan io ni comoro msiwe wapuuz mnakera
 
Mkuu,

Hata Dar Es Salaam, umali wa kilomita 30 kutoka ufukwe wa bahari ina hatari ya kuzama kuthibitisha asili ya maumbile hujirudia kila baada ya muda fulani wa vizazi kupita na kizazi kilichopo kusingizia mabadiliko ya tabia nchi.
 
Mbona wa kwetu wamekimbia ukimbizini kuogopa wanaojulikana why tusaidie jirani
 
Nchi ndio nchi ya kwanza kuuona mwaka mpya kisiwa hiko kiko karibu kabisa na international date line nadhani watasaidiwa na nchi za China Urusi sisi tupo mbali huku ni ngumu kuwasaidia.
Je urusi wanaoutamaduni wa kusaidia?
 
Nchi ndio nchi ya kwanza kuuona mwaka mpya kisiwa hiko kiko karibu kabisa na international date line nadhani watasaidiwa na nchi za China Urusi sisi tupo mbali huku ni ngumu kuwasaidia.
Raisi wa kiribati analalamika kuwa international community haimsaidii kwenye hilo tatizo

Nchi ya Kiribati ina watu wapatao laki moja ni kisiwa na kwa sasa imeanza kuzama baharini kutokana na mabaddiliko ya Tabia nchi .Tukiwapa uraia hata elfu 25 tu tutakuwa tumewasaidia sana na Mungu atatubariki

Jionee hali yao mwenyewe

Nilishaletaga huu uzi 2018

Nchi ya Kiribati ina watu wapatao laki moja ni kisiwa na kwa sasa imeanza kuzama baharini kutokana na mabaddiliko ya Tabia nchi .Tukiwapa uraia hata elfu 25 tu tutakuwa tumewasaidia sana na Mungu atatubariki

Jionee hali yao mwenyewe

Tayari wamshanunua ardhi Fiji. Pia kuja Tanzania ni mbali sana. Kiribati ipo far away in the pasific
 
Raisi wa kiribati analalamika kuwa international community haimsaidii kwenye hilo tatizo

Watakuja tu apo ni kuweka mafuta panda ndege sepa vibali vitapatikan ndege ikiwa hewan more than that tujiandaena msiba wa dunia afu kuna visiwa vingine nikiviangalia kwenye raman adi navionea huruma yaan vipo mbali na mabara afu ni vidogo bahar ilioizunguka ni kubwa yaan kwa tabia za nchi jibu ni moja tu lazima itamezwa na bahar
 
Ukisikiliza huu wimbo miss Bau utapenda Kiribati. Umeimbwa na Tiara mwanadada maarufu anayependwa sana Kiribati. Unavuta hisia sana.
 
Back
Top Bottom