Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Nilikwenda kisiwani Mafia, nikashuhudia kwa macho yangu mashamba ya minazi yanaliwa na bahari. Kwa maana hiyo, eneo la nchi linapungua kadri miaka inavyokwenda. Na vile visiwa vingi vya Bahari ya Hindi ni ni michanga tu bila miamba, bora tuwawekee akiba ya eneo ndugu zetu wa hapa karibu kuliko kufikiria wa huko Kiribati 🇰🇮
 
Back
Top Bottom