Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,251
Reaction score
20,486
Mzuqa wanaJF!

Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni.

This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level.

Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji ikitokea nchi yao kuzama.

Hakuna watu wenye uelewa duniani kuhusu climate change kama Wakiribati. Inawauma sana nchi na vyongozi wa nchi zinzoendelea kutojali kuchukua tahadhari kuhusu climate change kama akina Trump.

Japo ni maskini wakiribati wameridhika na maisha yao na wanaipenda sana nchi yao na tamaduni zao.

Asili ya wakazi wa Kiribati ni polynesians ambao pia wamesambaa sana katika pacific katika nchi za

Tonga, Niue (funny name),Tuvalu, Samoa.

Mwanajamvi unaweza niuliza chochote kuhusu pacific islands nation nikakujibu kiufasaha kabisa na kamwe utaipata kwenye internet.

This is John!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom