Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

Palau,American Samoa na Hawaii pia raia wake si ni Polynesians au??
 
Fatilia kuhusu visiwa vya Pemba na unguja vitazama lini, ili kabla hawajafanya maamuzi ya kujitenga wawe wanajua nchi yao ikizama wataelekea Kenya au somalia.
Ahahaa ole wao wajaribu kujitenga bora wazame waelekee huko Kenya
 
Vipi kuhusu Macedonia na hili la Thesalonians au wasesalonike niliskia on DW kuhusu kutaka kujitenga kwa anae faham historia ya hili Taifa anijuze.Tafadhali
 
Nchi ya Kiribati ina watu wapatao laki moja ni kisiwa na kwa sasa imeanza kuzama baharini kutokana na mabaddiliko ya Tabia nchi .Tukiwapa uraia hata elfu 25 tu tutakuwa tumewasaidia sana na Mungu atatubariki

Jionee hali yao mwenyewe

 
Nchi ndio nchi ya kwanza kuuona mwaka mpya kisiwa hiko kiko karibu kabisa na international date line nadhani watasaidiwa na nchi za China Urusi sisi tupo mbali huku ni ngumu kuwasaidia.
 
Wanamademu wakali waje tuchanganje damu?
 
Ni aheri ukipata chance ukazame nao huko na sio wao kuja huku nchi ya kusadikika hii watajuta
 
Back
Top Bottom