The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Mzuqa wanaJF
Kiribati ambayo hapo mbeleni ilikuwa ikijulikana ka Gilbert Island ni kisiwa nchi pacific chenye visiwa 33 inayojenga nchi ya Kiribati. Ina wakazi laki moja nusu yao wakiishi mji mkuu Tarawa.
Kiribati itakuwa nchi ya kwanza kuona mwaka mpya 2019. Ila ni kwa kisiwa chake Kiritimati (Christmas Island) ambayo inatofautiana kwa masaa mawili na mji wake mkuu Tarawa.
Nchi za Tonga na Samoa pia zitakuwa za kwanza kuona 2019 kwasababu ni masaa sawa na Kiritimati.
America Samoa kisiwa ambacho kipo chini ya marekani na wana asili moja na Samoa kitakua cha mwisho kuiona mwaka mpya pamoja na Baker island.
Niulize chochote kuhusu huo ukanda wa pacific ntakujibu kiufasaha.
Licha ya swaga za mwaka mpya nilitoandika kuna watoto wakaree sana ukanda huo.
Senior JF Pacific and international correspondent.
Masters!