Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Huwezi kuniuliza km nina akili au sina maana akili ni unayoona na kuyatambua je umetumia kipimo gani kutaka kujua km mtu ana akili au hana akili

Kwanini nisikuulize?
Ok umesema akili ni unayoyaona na kuyatambua.. Je usiyoyaona na kuyatambua sio akili?
Je usiyoyaona lakini huyatambui sio akili?
Je unayoyaona lakini huyatambui sio akili?
Je utambuzi ndio akili ama sio akili?
 
Akikujibu nitag mkuu...
 
Nimemuelezea kuwa akili ni yale mambo ambayo unayaona na kuyatambua mazingira na ukaweza kuyaelewa yeye analazimisha una akili au huna akili hakuna mtu asiye na akili ila tunatofautiana ktk kuelewa
Twende taratibu umesema hakuna mtu asiye na akili... Umejibu vema sana
Swali lingine je unaweza kuiona akili kwa macho? Ukaigusa!? Ukaipa kipimo?
 
Nimemuelezea kuwa akili ni yale mambo ambayo unayaona na kuyatambua mazingira na ukaweza kuyaelewa yeye analazimisha una akili au huna akili hakuna mtu asiye na akili ila tunatofautiana ktk kuelewa
Twende taratibu umesema hakuna mtu asiye na akili... Umejibu vema sana kwa maana ya kwamba kila mtu ana akili
Swali lingine je unaweza kuiona akili kwa macho? Ukaigusa!? Ukaipa kipimo?
 
Nimemuelezea kuwa akili ni yale mambo ambayo unayaona na kuyatambua mazingira na ukaweza kuyaelewa yeye analazimisha una akili au huna akili hakuna mtu asiye na akili ila tunatofautiana ktk kuelewa
Twende taratibu umesema hakuna mtu asiye na akili... Umejibu vema sana kwa maana ya kwamba kila mtu ana akili
Swali lingine je unaweza kuiona akili kwa macho? Ukaigusa!? Ukaipa kipimo?
 
Kwanini nisikuulize?
Ok umesema akili ni unayoyaona na kuyatambua.. Je usiyoyaona na kuyatambua sio akili?
Je usiyoyaona lakini huyatambui sio akili?
Je unayoyaona lakini huyatambui sio akili?
Je utambuzi ndio akili ama sio akili?
Ndio tumeigawanya akili ktk sehemu mbili conscious mind na subconscious mind,conscious mind kwa yale mambo yanaonekana na subconscious mind kwa yale mambo yasiyooneka
 
Twende taratibu umesema hakuna mtu asiye na akili... Umejibu vema sana kwa maana ya kwamba kila mtu ana akili
Swali lingine je unaweza kuiona akili kwa macho? Ukaigusa!? Ukaipa kipimo?
Akili huwezi iona kwa macho wala kupima kwakuwa haina kipimo kwakuwa akili ni yale mambo unayoyaona na kuyatambua ktk uelewa hivyo tutapima uelewa kuangalia unayelewaje mazingira yanayokuzunguka
 
Kushindwa kwetu kujibu kama tuna akili ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo Kwa huyo Mungu muweza yote,mwenye upendo wote na ujuzi wote.

Kama angekuwepo basi viumbe wake tusingeweza kushindwa kujibu kama tuna akili au hatuna.

Back to topic,akili ni nini!?
Kuna mahusiano gani hapo?
 
Nimeshamjibu tayari akili imegawanyika ktk sehem 2 conscious mind na subconscious mind,conscious kwa yale unayoyaona kwa macho na subconscious mind yale usiyoona kwa macho
kwahiyo wewe upo upande gani between those two counciousness you listed?
 
Kushindwa kwetu kujibu kama tuna akili ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo Kwa huyo Mungu muweza yote,mwenye upendo wote na ujuzi wote.

Kama angekuwepo basi viumbe wake tusingeweza kushindwa kujibu kama tuna akili au hatuna.

Back to topic,akili ni nini!?
Kwahio ukishindwa kusoma na mwalimu wako naye hawezi kusoma??? Uweza wa Mungu ni wa Mungu sio wakwako
 
Nimemuelezea kuwa akili ni yale mambo ambayo unayaona na kuyatambua mazingira na ukaweza kuyaelewa yeye analazimisha una akili au huna akili hakuna mtu asiye na akili ila tunatofautiana ktk kuelewa
Hebu toa mifano ili tupate picha ya kile unachokisema.
 
Mkuu kumbe medicine unaijua una maana gani kuuliza swali kama hili?
Akili ni uwezo wa kuelewa jambo,kufikiri na kukumbuka
Ndio ktk medicine kipengele cha hx taking huwa tuna test mental status na si akili kama mtu yupo conscious na utaona anaulizwa kama yupo oriented to time,place na person na pia ataulizwa short and long memory,
Lakn unaposema mtu hana akili una maana gani maana akili yenyewe ipo muda wote kwa maana hiyo huwezi sema mtu hana akili bora useme mtu hana uwelewa au ufikiri au useme mtu ana matatizo ya akili psychotic disoder,epilepsy
Aiseeee....
 
Ndio tumeigawanya akili ktk sehemu mbili conscious mind na subconscious mind,conscious mind kwa yale mambo yanaonekana na subconscious mind kwa yale mambo yasiyooneka
Kuna shida kidogo hapo conscious mind haionekani bali kupitia matokeo ya vitendo vyake... Yani yale mtu ayafanyayo yote anapokuwa live... Unachoweza kuona ni matokeo sio kichokoo cha matendo yanayoleta matokeo na mojawapo ni utambuzi ama maarifa ya kitu kupitia milango sita ya fahamu
Subconscious mind inaitwa akili tuli yani mwili unapokuwa kwenye dormancy state... Hauna fahamu ya utambuzi kwa maana ya kwamba sio mfu lakini mifumo mingine inaendelea kufanya kazi
Sasa hapa ndio walipokwepa wengi kujibu kuhusu uwepo wa Mungu... Yupo lakini huwezi kumuona kama ulivyo na akili ambayo huwezi kuiona
 
At least umejaribu kujibu sasa kuwa akili ni uwezo wa kujua jambo... Nakupongeza sana kwa hili... Ila kwenye maelezo yanayofuatia umechanganya na vitu vingine sio tatizo sana...
Pia umesema kuwa haiwezekani kusema kuwa mtu hana akili kwakuwa ipo muda wote (mengine yaliyofuatia ni maelezo tu yenye mchanganyiko mwingine) lakini bado sio mbaya.... Na nikushukuru sana kwa majibu yako
Sasa tuendelee na mjadala.... Naomba kuuliza swali/ maswali mengine?
Je kipimo cha akili ni kipi?
Je tunaweza kuishika akili na kuiona kwa macho?
Je akili ina rangi uzito na ujazo?
Jibu kwa weledi na maarifa yako bila kuweka ma link ya Wikipedia na wazungu... Kama tumesoma na kuelimika tujaribu kuchambua jambo wenyewe bila utegemezi wa maandiko ya wafu, tukiw na hii tabia tafsiri yake ni moja tu kwamba hatujiamini kwa majibu yetu na tunaamini walichokiandika wao na huu ndio mwanzo wa kumuabudu mtu
Aiseee...""
 
Akili huwezi iona kwa macho wala kupima kwakuwa haina kipimo kwakuwa akili ni yale mambo unayoyaona na kuyatambua ktk uelewa hivyo tutapima uelewa kuangalia unayelewaje mazingira yanayokuzunguka
Uko sahihi kama hii ndio tafsiri sahihi ya akili sasa kwanini kuna watu wanataka ithibati za kuwepo kwa Mungu wakati Mungu ni kama akili ambayo ipo lakini haionekani wala kupimika!? Bali hujidhihiri kwa matendo ya ufahamu kulingana na mazingira yaliyopo?
Je watafurahia na kukubaliana na jibu lako hili?
 
Hawakukosea maana inategemea na Mungu yupi anazungumziwa.

Mwanamziki Beyonce Knowles amenunua kanisa kule Marekani na amejitambulisha kuwa yeye ndiye Mungu wa kanisa/dini/dhehebu hilo.
Na sifa za Mungu huyu (Beyonce) ni kuwa yeye ni mwanamziki na ameolewa na Jay-zee.

Na kwa kuwa hizi sifa za Mungu Beyonce hazina contradictions za uwepo wake(Kweli ni mwanamziki na mumewe ni Jay-zee),ni rahisi zaidi kuamini umungu wake kuliko huyu wa kwenye vitabu anayesemwa ana uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote halafu akamuumba eti shetani ili kuwaharibu wanae.

Mungu wa namna hiyo hayupo,ni stori tu za vijiweni za kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka na zaka huku waumini wakizidi kuwa mafukara.
mtihani sana ” aisee..
 
Back
Top Bottom