Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, hoja ya kitoto isingewezekana kuwepo.

Kama unaona Kiranga ana hoja ya kitoto, huo ni ushahidi Mungu hayupo.

Ushaelewa hoja hiyo?
hahaha....wewe Jamaa "" unajua kujenga hoja aisseee.."" hiii hoja " kwa zwazwa ni fumbo
 
Akili sio nini.
Mbna unaleta utoto tena, kwani tunacheza makida makida hapa?

Umeulizwa halafu unarukaruka ili iweje?

Jibu ulichoulizwa, mjue toka mwanzo swali ili linazagaa jf hapa, mshana hajajibu

Na wewe unaleta zako.

Akili ni nini?
 
Anayeleta utoto hapa nani? umeuliza akili ni nini na mie nimekujibu akili sio nini.

Tufanye Mshana hajajibu hilo swali,ila kuna watu mnasema wameshajibu ni nini akili,sasa mbona hadi sasa swali la Mshana halijajibiwa?
 
Mshana Kashindwa kuuliza swali kama ulivyosema au swali halipo kwenye muundo unaoutaka wewe?
Kashindwa kuuliza swali.

Mtu akiuliza "kutuka kwa ndege kunawezekanaje?"

Halafu akaombwa ufafanuzi, unaposema ndege, unamaanisha nini?

Akashindwa kufafanua, kashindwa kuuliza swali.
 
hahaha....wewe Jamaa "" unajua kujenga hoja aisseee.."" hiii hoja " kwa zwazwa ni fumbo
Hoja za ndugu yako ni za kizwazwa zaidi.

Ni sawa na kudai kuwa..kama Mungu muweza Yote na mwenye upendo wote na Nguvu zote alipaswa kuwa peke yake Tu.

Kwa maana ikiwa unahoji kwanini vifo vinatokea kwa kuwa vinaamsha hisia za uchungu kwanini kusingekua na Uzima Tu..! ili kuamsha hisia za furaha!

Utashindwaje kuuliza kwanini kuna wanaume na wanawake.! kwanini isiwe wanaume Tu peke yao.ili kusiwe na uzinzi

Kwanini kuna wanafunzi.. kwanini wote tusingekua walimu.!? Ili Ada zisitozwe

Kwanini kuna watoto.kwanini wote tusiwe wazazi. Ili majukumu na wajibu visiwepo

Ukiangalia kwa uwezo mdogo Tu unatambua kua dai lake ni la kukusanya vitu vyote kuwa kimoja.! Na Kwa ufupi nikwamba hakukupaswa kuwa na maisha.

Tusingekuwa na jamii za Watu wa asia na ulaya na nk. Wote tungekuwa mmoja.

Kwake ukinzani na utofauti ni kujiconrtadict haviyamkiniki kwenye ufahamu wake.

Na kama anaona dhana ya kwenye vitabu inajipanga,kesha jibiwa sana tena sana.

Kuwa vitabu vinamulezea Mungu lakini vitabu si mungu.

Vinaeleza sayansi ya utu isiyo yakini kwa vitu vionekanavyo.Na kukupa matokeo thabiti pindi uitumiapo.

Mbona ni mvivu hivyo.!?
Mwambie ni kazi sana kujua Bomu linaundwaje lakini ni rahisi kujua kusudi la Bomu kutenezwa

Awe na kawaida na jicho jepesi la kufahamu kusudi la Jambo lolote lile hapo ndipo ataelewa swali la Mshana.

Sio unaumiza bichwa kwa vitu visivyo vya lazima
 
We jamaa wewe!! Niache niwahi kwanza kanisani....

Unakumbuka ulisema unataka kufanya utafiti kuhusu uchawi? Ulifanikiwa au haukuanza kabisa?

Uwe na mchana mwema.

Nilifanya.

Uchawi ni imani ya vitu visivyopo kwa watu ambao hawajajishughulisha kufanya uchunguzi wa kutosha.

Sawasawa na imani ya Mungu.
 
Hoja za ndugu yako ni za kizwazwa zaidi.

Ni sawa na kudai kuwa..kama Mungu muweza Yote na mwenye upendo wote na Nguvu zote alipaswa kuwa peke yake Tu.

Kwa maana ikiwa unahoji kwanini vifo vinatokea kwa kuwa vinaamsha hisia za uchungu kwanini kusingekua na Uzima Tu..! ili kuamsha hisia za furaha!

Utashindwaje kuuliza kwanini kuna wanaume na wanawake.! kwanini isiwe wanaume Tu peke yao.ili kusiwe na uzinzi

Kwanini kuna wanafunzi.. kwanini wote tusingekua walimu.!? Ili Ada zisitozwe

Kwanini kuna watoto.kwanini wote tusiwe wazazi. Ili majukumu na wajibu visiwepo

Ukiangalia kwa uwezo mdogo Tu unatambua kua dai lake ni la kukusanya vitu vyote kuwa kimoja.! Na Kwa ufupi nikwamba hakukupaswa kuwa na maisha.

Tusingekuwa na jamii za Watu wa asia na ulaya na nk. Wote tungekuwa mmoja.

Kwake ukinzani na utofauti ni kujiconrtadict haviyamkiniki kwenye ufahamu wake.

Na kama anaona dhana ya kwenye vitabu inajipanga,kesha jibiwa sana tena sana.

Kuwa vitabu vinamulezea Mungu lakini vitabu si mungu.

Vinaeleza sayansi ya utu isiyo yakini kwa vitu vionekanavyo.Na kukupa matokeo thabiti pindi uitumiapo.

Mbona ni mvivu hivyo.!?
Mwambie ni kazi sana kujua Bomu linaundwaje lakini ni rahisi kujua kusudi la Bomu kutenezwa

Awe na kawaida na jicho jepesi la kufahamu kusudi la Jambo lolote lile hapo ndipo ataelewa swali la Mshana.

Sio unaumiza bichwa kwa vitu visivyo vya lazima
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Kwanini zisingekuwepo hizo hoja za kitoto? hebu fafanua .
Kwa sababu katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kila mtu angekuwa na uelewa mkubwa, hakuna ambaye angekuwa na uelewa mdogo kutoa hoja ya kitoto.

Ujinga, hoja za kitoto, maswali etc ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Mkuu unasema atleast dark energy is subjected to the scientific process per review Mungu pia ni hivyohivyo..
wapo atleast walioona matendo yake makuu na wanaendelea kugundua uwepo wake
Na kama jinsi scientist ambavyo hawawezi kutuonesha dark energy inafananaje ila kutuaminisha uwepo wa nguvu zake na Mungu nae ni hivyohivyo..
hutoweza kudhibitishiwa alivyo bali kuoneshwa nguvu na matendo yake tu.
Hpana, nishaambiwa Mungu kavuka logic nisimtafute kwa kutumia logic, niamini tu yupo.
 
hahaha....wewe Jamaa "" unajua kujenga hoja aisseee.."" hiii hoja " kwa zwazwa ni fumbo
Mtu anakushambulia kwa hoja inatotoa ushahidi kwamba Mungu hayupo (wewe una hoja za kitoto).

Wakati haelewi kwamba kama kweli mimi nina hoja za kitoto, hilo linatoa ushahidi Mungu hayupo!
 
So atheist hawataenda motoni wala mbinguni. Coz hawajawai kuwa na exposure yyte ya hayo mambo. So hitimisho ni kuwa hakuna maisha baada ya kifo.
 
Back
Top Bottom