Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kashindwa kuuliza swali. Kwa sababu hilo swali alilouliza tukilichambua na kutaka ufafanuzi, tujue akizungumzia akili anazungumzia nini, tukimuuliza akili anayoizungumzia ni ipi, anashindwa kutujibu.

Ni kama mtu anataka kuja Marekani halafu anasema anatakakwenda Washington. Marekani kuna Washinton nyingi. Kuna Wshington DC, Mji Mkuu wa Marekani. Kuna Washington State, jimbo la Magharibi Marekani ufukwe wa bahari ya pasifiki, kuna vimiji kibao vinaitwa Washington almost kila jimbo, sasa mtu akisema anataka kwenda sehemu inaitwa Washington Marekani, inabidi ajieleze vizuri. Anataka kwenda Washington DC mji mkuu wa Marekani, anataka kwenda Washington State ya magharibi ufukwe wa Pasifiki, anataka kwenda Washington Township New Jersey, au anataka kwenda Washington ?

Sasa Mshana ananiuliza, upo Washington?

Mimi namuuliza "Washington ipi?" Ili nisimwambie ndiyo, kwa kuwa niko Washington Township Illinois, wakati yeye anamaanisha Washington State.

Nataka nilielewe swali vizuri, tuelewane kabla sijamjibu, ili nisimjibu visivyo.

Halafu kashindwa kufafanua anamaanisha Washington ipi?

Hapo Bill Gates alisema there is not enough information to conclusively answer this question.

In other words, the qiestion is incomplete.In other words, the question is deformed. In other words, there is no comprehensible question.

List of memorials to George Washington - Wikipedia
Wewe unauliza akili ipi au unauliza akili ni nini?
 
Kwa sababu haina logical consistency.

Kwa sababu ina contradiction.

Kwa sababu huwezi kuithibitisha kwamba ni ya uhalisia.

Kwa sababu huwezi kujibu akili ni nini.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hakuna swali ambalo lingeweza kujulikana na kiumbe wake lingekosa jibu.

Wewe kutoweza kujibu akili ni nini ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Ulipaswa kujibu jibu moja sio kachumbali ya maneno
Mungu ni halisi.. Thibitisha kama sio halisi
Akili ni akili... Thibitisha kama akili sio akili...
Ukinijibu kama una AKILI ama huna AKILI nitakuthibitishia uwepo wa Mungu
 
Si vizuri kila wakati kutafuniwa kila kitu.. Bible takatifu ina soft na hard copy unaweza kuipata kwa urahisi nje ama ndani ya mtandao
Ninaweza nikasoma na nisipate kile nitafutacho.

Kama wewe unajua jibu tafadhali liweke hapa!!
 
Mkuu, umeandika vizuri sana.

Kwa nini jambo rahisi kama hili linahitaji maelezo mengi?

Hawajui haya mambo kiukweli? Au ni wazushi tu wanaamua kufanya unazi kama ushabiki wa mpira?

Hata huo ushabiki wa mpira kuna rafiki zangu waliosoma Liverpool miaka 30 iliyopita, leo wamefungwa na Real Madrid, wamekubali kwamba wamefungwa na wamewapongeza Real Madrid, inakuwaje hawa watu wanakuwa wabishi hivi baada ya kuambiwa ukweli wa wazi kabisa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiranga try to be serious... Unamsifu kaandika vizuri bila kuona mapungufu makubwa kwenye post yake kwakuwa tu amekusifia?
 
Kashindwa kuuliza swali. Kwa sababu hilo swali alilouliza tukilichambua na kutaka ufafanuzi, tujue akizungumzia akili anazungumzia nini, tukimuuliza akili anayoizungumzia ni ipi, anashindwa kutujibu.

Ni kama mtu anataka kuja Marekani halafu anasema anatakakwenda Washington. Marekani kuna Washinton nyingi. Kuna Wshington DC, Mji Mkuu wa Marekani. Kuna Washington State, jimbo la Magharibi Marekani ufukwe wa bahari ya pasifiki, kuna vimiji kibao vinaitwa Washington almost kila jimbo, sasa mtu akisema anataka kwenda sehemu inaitwa Washington Marekani, inabidi ajieleze vizuri. Anataka kwenda Washington DC mji mkuu wa Marekani, anataka kwenda Washington State ya magharibi ufukwe wa Pasifiki, anataka kwenda Washington Township New Jersey, au anataka kwenda Washington ?

Sasa Mshana ananiuliza, upo Washington?

Mimi namuuliza "Washington ipi?" Ili nisimwambie ndiyo, kwa kuwa niko Washington Township Illinois, wakati yeye anamaanisha Washington State.

Nataka nilielewe swali vizuri, tuelewane kabla sijamjibu, ili nisimjibu visivyo.

Halafu kashindwa kufafanua anamaanisha Washington ipi?

Hapo Bill Gates alisema there is not enough information to conclusively answer this question.

In other words, the qiestion is incomplete.In other words, the question is deformed. In other words, there is no comprehensible question.

List of memorials to George Washington - Wikipedia
Maelezo yote haya ni kwa vile nimekuuliza kama una AKILI ama huna AKILI? [emoji87] [emoji87] [emoji144]
 
Ukiona mtu anajisifia kuwa anajua sana mambo hapo jua hamnamo kitu.Ndiyo wewe ukifanyacho kujisifu eti unajua sana quantum physics,badala ya kuchangia kwa fact ili sisi watazamaji ndiyo tutapima huo utaalamu wako.

Kiranga ni mchambuzi wa mambo sana tena deep kuzidi hata huu utumbo wako ila hakuna hata siku moja aliwahi kujisifu kwa uelewa wake.

Sasa umeulizwa Mungu muweza wa yote anaweza umba jiwe zito kiasi cha yeye kushindwa kulibeba,hujajibu na badala yake umeanza taarabu tu.

Kwa mara nyingine Kiranga ameshinda hii debate!!
Kaka,

Tunabishana na watu wanaojinadi kwa weledi wa tunayobishania wakati hata hawamjui Niels Bohr ni nani.

Niels Bohr - mpinzani wa Einstein ambaye watu wengi wanaosoma sayansi kama celebrity gossip newspapers wanaweza kuwa hawamjui, alisema kwamba,ukiona mtu anasema anaielewa sana Quantum Physics, ujue huyo hajaielewa bado.

Nimefurahi sana kuona unapandisha juu na kupenda utashi wa mtu, badala ya kujikuza kwa mtu.
 
Kiranga una hoja za kitoto sana sijui kama unafanya tu kusudia au ndiyo una maanisha kweli hivyo.

Yani unaropaka tu mara sijui mungu angekuwa hivi mara sijui hivi ingekuwa vile, maana sasa imekuwa hata haieleweki yupi mungu na yupi binaadamu.

Yani hadi kuna muda uliniulizia baba ake mungu kama namjua,sijui hata kama unamjua huyu unayesema hayupo?
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, hoja ya kitoto isingewezekana kuwepo.

Kama unaona Kiranga ana hoja ya kitoto, huo ni ushahidi Mungu hayupo.

Ushaelewa hoja hiyo?
 
Nakuuliza jina gani? unajibu "Hilo jina".

No woder wewe na Mshana hampishani.

Bwahahaaa.
[emoji15] [emoji3] [emoji3] ngoja tu sasa nikusaidie kucheka... Maana una utetezi wa kufurahisha mno....
Kiranga kwa MARA YA 18 nakuuliza tena UNA AKILI!?
Usiniulize tena akili ninini nimeshakujibu ni AKILI... Sasa unazo hizo akili ama huna?
 
Asante kwa kujibu na maelezo marefu juu... Japo mwisho umeishia kutetea upande mmoja.. Bado ni sahihi kabisa siwezi kukulaumu...
Kwenye jibu jibu lako umechanganya mambo mengi kwa pamoja kwakuwa ni kwa vile ulikuwa unajitahidi kulinda kile ulichoandika
Akili kwa muktadha wako huu ni ufahamu (sio fahamu) na ndani ya huo ufahamu ndio tunapata maarifa! Sawa?
Kukosa akili maana yake ni kukosa ufahamu! Sawa!? Kukosa maarifa! ... Lakini bila kujali kama una AKILI ama huna hili ni jambo la kihisia zaidi... Halionekani, halishikiki, haikamatiki nk lakini lipo... Kwahiyo mtego wa swali sio kujibu swali la msingi bali swali litakalofuatia na hapa ndio ishu ya uwepo wa Mungu inapoingia...
Mkuu hiyo ni self defense mechanism hata ww ukitoa hayo maelezo unayofikiri yatakuwa sahihi kwa wengine hayatakuwa sahihi kama hukubali toa uone tukavyokuzunguka kwa maswali akili ni vile unavyoona ww huwez mpangia mtu aielezee km unavyotaka
 
Na ndio maana nikasema he hivi BADO NI SAHIHI NA SIWEZI KUKULAUMU KABISA... angalia para ya kwanza mwishoni
 
Kwa sababu haina logical consistency.

Kwa sababu ina contradiction.

Kwa sababu huwezi kuithibitisha kwamba ni ya uhalisia.

Kwa sababu huwezi kujibu akili ni nini.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hakuna swali ambalo lingeweza kujulikana na kiumbe wake lingekosa jibu.

Wewe kutoweza kujibu akili ni nini ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Mkuu Kiranga umejibu vzr sana,Mshana mjanja anatumia self defense mechanism kuogopa maswali yetu hakuna mtu anayeamini mungu anayeweza kuyajibu ktk dunia ya leo anajua kabisa kusema una akili au huna lazima ufafanue yeye hataki anadhani maelezo mazuri anayo yeye peke yake ndio yenye kukubalika
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona sasa imebaki kufarijiana tu.. Ni jambo jema pia... Faraja humfanya mtu ajisikie vizuri
 
Back
Top Bottom