Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kashindwa kuuliza swali. Kwa sababu hilo swali alilouliza tukilichambua na kutaka ufafanuzi, tujue akizungumzia akili anazungumzia nini, tukimuuliza akili anayoizungumzia ni ipi, anashindwa kutujibu.

Ni kama mtu anataka kuja Marekani halafu anasema anatakakwenda Washington. Marekani kuna Washinton nyingi. Kuna Wshington DC, Mji Mkuu wa Marekani. Kuna Washington State, jimbo la Magharibi Marekani ufukwe wa bahari ya pasifiki, kuna vimiji kibao vinaitwa Washington almost kila jimbo, sasa mtu akisema anataka kwenda sehemu inaitwa Washington Marekani, inabidi ajieleze vizuri. Anataka kwenda Washington DC mji mkuu wa Marekani, anataka kwenda Washington State ya magharibi ufukwe wa Pasifiki, anataka kwenda Washington Township New Jersey, au anataka kwenda Washington ?

Sasa Mshana ananiuliza, upo Washington?

Mimi namuuliza "Washington ipi?" Ili nisimwambie ndiyo, kwa kuwa niko Washington Township Illinois, wakati yeye anamaanisha Washington State.

Nataka nilielewe swali vizuri, tuelewane kabla sijamjibu, ili nisimjibu visivyo.

Halafu kashindwa kufafanua anamaanisha Washington ipi?

Hapo Bill Gates alisema there is not enough information to conclusively answer this question.

In other words, the qiestion is incomplete.In other words, the question is deformed. In other words, there is no comprehensible question.

List of memorials to George Washington - Wikipedia

Mshana Kashindwa kuuliza swali kama ulivyosema au swali halipo kwenye muundo unaoutaka wewe?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiranga try to be serious... Unamsifu kaandika vizuri bila kuona mapungufu makubwa kwenye post yake kwakuwa tu amekusifia?
Uwepo wa mapungufu kwenye comment yangu ni ushahidi mwingine pia kwamba Mungu mjuzi wa yote,upendo wote na uwezo wote hayupo.
Kama angekuwepo isingewezekana kiumbe wake niandike comment yenye mapungufu makubwa.
 
Unabishana na watu ambao hata basics tu za philosophy of religion hawajui...watu wanakuja kwenye debate wakati hawajawasoma kina St. Aquinas kujua hoja zao za uwepo Wa mungu. Wanakuja na majibu ya Katekisimu Yetu.
Debate za ovyo zisizo na tija
 
Mkuu Kiranga umejibu vzr sana,Mshana mjanja anatumia self defense mechanism kuogopa maswali yetu hakuna mtu anayeamini mungu anayeweza kuyajibu ktk dunia ya leo anajua kabisa kusema una akili au huna lazima ufafanue yeye hataki anadhani maelezo mazuri anayo yeye peke yake ndio yenye kukubalika
Ufafanue nini?
 
Uwepo wa mapungufu kwenye comment yangu ni ushahidi mwingine pia kwamba Mungu mjuzi wa yote,upendo wote na uwezo wote hayupo.
Kama angekuwepo isingewezekana kiumbe wake niandike comment yenye mapungufu makubwa.
Mnagezana hoja za kijinga sana na ndiyo maana hamuwezi kujibu kama mna akili.
 
Maswali kwa waumini wa atheism(upagani)
1.Je dunia iliumbwaje?
2.Je evolution ya viumbe ilitokeaje?
3.Je wao wana amini nini kiimani?is atheism similar to not having a religion or just a denial of God's existance?
4.Is atheism a religion?
 
Nakuuliza jina gani? unajibu "Hilo jina".

No woder wewe na Mshana hampishani.

Bwahahaaa.
Unapenda ubishi halafu unakuwa msahaulifu.

Sio wewe uliyesema utaniita Guluguja ngumbaru kilema?

Nikakwambia nimekuruhusu ila endapo utanionesha post ambayo mtu kasema maana ya neno akili ni kutambua uwepo wa mungu.
 
Uwepo wa mapungufu kwenye comment yangu ni ushahidi mwingine pia kwamba Mungu mjuzi wa yote,upendo wote na uwezo wote hayupo.
Kama angekuwepo isingewezekana kiumbe wake niandike comment yenye mapungufu makubwa.
Duu kumbe huu ndio mtazamo wako kuhusu Mungu.. Basi kazi ipo. Kuna kusoma na kuelimika... Wewe umesoma lakini hujaelimika
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, hoja ya kitoto isingewezekana kuwepo.

Kama unaona Kiranga ana hoja ya kitoto, huo ni ushahidi Mungu hayupo.

Ushaelewa hoja hiyo?
Kwanini zisingekuwepo hizo hoja za kitoto? hebu fafanua .
 
Maneno yako yanazidi kuthibitisha kuwa akili maana yake ni yale mambo unayoyaona ktk mazingira na ukaweza kuyatambua hatuwezi kukulaumu kwann hutaki kuelewa kwakuwa akili yako inavyoona
Achana na maneno yangu yanaonyesha nini.. Haya ni yangu mimi...
Achana na hiki unachoita 'akili yangu' inavyoona
Naomba wewe kama GT unijibu wewe kama wewe Je una AKILI ama huna AKILI?...... Acha kujibu akili ni ninini kwakuwa hata muulizaji ameshindwa kujibu hilo swali
 
Maneno yako yanazidi kuthibitisha kuwa akili maana yake ni yale mambo unayoyaona ktk mazingira na ukaweza kuyatambua hatuwezi kukulaumu kwann hutaki kuelewa kwakuwa akili yako inavyoona
Achana na maneno yangu yanaonyesha nini.. Haya ni yangu mimi...
Achana na hiki unachoita 'akili yangu' inavyoona
Naomba wewe kama GT unijibu wewe kama wewe Je una AKILI ama huna AKILI?...... Acha kujibu akili ni ninini kwakuwa hata muulizaji ameshindwa kujibu hilo swali
 
Duu kumbe huu ndio mtazamo wako kuhusu Mungu.. Basi kazi ipo. Kuna kusoma na kuelimika... Wewe umesoma lakini hujaelimika
Kutokuelimika kwangu nao ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo kwa Mungu mwenye uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote.Kama angekuwepo basi mimi kiumbe wake isingewezekana kusoma sana halafu nisielimike.

Back to topic,akili ni nini!?
 
Akili ni akili... Nimeshakujibu
Na wewe nijibu sasa una AKILI ama huna AKILI?
 
Mnagezana hoja za kijinga sana na ndiyo maana hamuwezi kujibu kama mna akili.
Kushindwa kwetu kujibu kama tuna akili ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo Kwa huyo Mungu muweza yote,mwenye upendo wote na ujuzi wote.

Kama angekuwepo basi viumbe wake tusingeweza kushindwa kujibu kama tuna akili au hatuna.

Back to topic,akili ni nini!?
 
Akili ni akili... Nimeshakujibu
Na wewe nijibu sasa una AKILI ama huna AKILI?
Kushindwa kwetu kujibu kama tuna akili ni ushahidi mwingine wa kutokuwepo Kwa huyo Mungu muweza yote,mwenye upendo wote na ujuzi wote.

Kama angekuwepo basi viumbe wake tusingeweza kushindwa kujibu kama tuna akili au hatuna.

Back to topic,akili ni nini!?
Akili ni akili... Nimeshakujibu
Na wewe nijibu sasa una AKILI ama huna AKILI?
 
Achana na maneno yangu yanaonyesha nini.. Haya ni yangu mimi...
Achana na hiki unachoita 'akili yangu' inavyoona
Naomba wewe kama GT unijibu wewe kama wewe Je una AKILI ama huna AKILI?...... Acha kujibu akili ni ninini kwakuwa hata muulizaji ameshindwa kujibu hilo swali
Huwezi kuniuliza km nina akili au sina maana akili ni unayoona na kuyatambua je umetumia kipimo gani kutaka kujua km mtu ana akili au hana akili
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Dark energy is a vague name assigned to the unknown part of the universe. How can one believe in the unknown?

Hii ni placeholder tu watu wameweka jina mpaka watakapoelewa zaidi hayo mambo.

Mungu naye ni placeholder tu hivyo hivyo.

Sitaki kuamini, nataka kujua.

The one thing dark energy has over God, is that, at least dark energy is subjected to the scientific process, peer review, testability, logical consistency etc.

God is given a pass.
Mkuu unasema atleast dark energy is subjected to the scientific process per review Mungu pia ni hivyohivyo..
wapo atleast walioona matendo yake makuu na wanaendelea kugundua uwepo wake
Na kama jinsi scientist ambavyo hawawezi kutuonesha dark energy inafananaje ila kutuaminisha uwepo wa nguvu zake na Mungu nae ni hivyohivyo..
hutoweza kudhibitishiwa alivyo bali kuoneshwa nguvu na matendo yake tu.
 
Back
Top Bottom