Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Bado sijaona connection yeyote ya hizo sifa za mungu na wa watu kuwa na uelewa mkubwa.Kwa sababu katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kila mtu angekuwa na uelewa mkubwa, hakuna ambaye angekuwa na uelewa mdogo kutoa hoja ya kitoto.
Ujinga, hoja za kitoto, maswali etc ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
Naona sawa na mtu aseme wewe mfupi ndiyo maana unakula sana,sioni mahusiano ya ufupi na kula sana.
Eleza ueleweke na si kubabatiza mambo.