Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Sasa wewe hujui hata sifa zipi zenye kumfanya Beyonce ajiite mungu ila unasema hakuna contradictions!
Mkuu,inawezekana wanazo hizo sababu wao na hawajaziweka bayana.Wamebaki kuaminishana hivyo kwa siri na ikabakia kuwa hivyo kwa imani yao.Na kama wangeziweka hadharani basi tungezipima kuona kama zina uhalisia.

Nachojua mimi ni kwamba Beyonce katoa maelezo ya kuwa yeye ni mke wa Jay-z na ni mwanamziki.Sasa hapa kuna contradictions gani!?

Kingine,binafsi simzuii mtu kuabudu/kuamini akitakacho.Lakini nina haki ya kukijadili hicho kitu na hasa kinapokuwa kipo kwenye maeneo yanayonizunguka.
 
Mkuu,inawezekana wanazo hizo sababu wao na hawajaziweka bayana.Wamebaki kuaminishana hivyo kwa siri na ikabakia kuwa hivyo kwa imani yao.Na kama wangeziweka hadharani basi tungezipima kuona kama zina uhalisia.

Nachojua mimi ni kwamba Beyonce katoa maelezo ya kuwa yeye ni mke wa Jay-z na ni mwanamziki.Sasa hapa kuna contradictions gani!?

Kingine,binafsi simzuii mtu kuabudu/kuamini akitakacho.Lakini nina haki ya kukijadili hicho kitu na hasa kinapokuwa kipo kwenye maeneo yanayonizunguka.
Basi hatuwezi kuzungumzia uungu wa Beyonce kwa sababu hatuna tunachokijua kuhusu uungu wa Beyonce,kwa maana hiyo hatuwezi kujua kama kuna contradictions au hakuna.
 
Nakujibu hapa tena na tena AKILI NI AKILI... Kumbuka hii post ili usije kusema SIJAKUJIBU akili ninini
Je una ugonjwa wa kusahau? Nimekujibu AKILI ni AKILI.. Unaelewa ama huelewi!? AKILI ni AKILI... Nimekujibu usije kusema tena SIJAKUJIBU kuwa akili ninini
Na kama hujaridhika na hili jibu... Tupe jibu wewe lakini MIMI MSHANA JR JIBU LANGU LA AKILI NI NININI... NIMEJIBU NI AKILI....
Kwa nini nikujibie swali wewe, ambalo nimekuuliza?

Akili ni nini?
.
 
@kiranga umejuaje kama ni hadithi ya kufikirika na si uhalisia?
Kwa sababu haina logical consistency.

Kwa sababu ina contradiction.

Kwa sababu huwezi kuithibitisha kwamba ni ya uhalisia.

Kwa sababu huwezi kujibu akili ni nini.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hakuna swali ambalo lingeweza kujulikana na kiumbe wake lingekosa jibu.

Wewe kutoweza kujibu akili ni nini ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
 
Mkuu nna kiswali kingine kidogo..
Unaamini kuna kitu kinaitwa dark energy?
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Dark energy is a vague name assigned to the unknown part of the universe. How can one believe in the unknown?

Hii ni placeholder tu watu wameweka jina mpaka watakapoelewa zaidi hayo mambo.

Mungu naye ni placeholder tu hivyo hivyo.

Sitaki kuamini, nataka kujua.

The one thing dark energy has over God, is that, at least dark energy is subjected to the scientific process, peer review, testability, logical consistency etc.

God is given a pass.
 
Nimesoma hii kwa masikitiko makubwa nikasema you know nothing about how you got to be present,,,

Ulipoumbwa ulipewa hekima na maarifa uyatumie katika kujidefend na kitu chochote katika ulimwengu huu

Your power,wisdom and knowlege ,all lie within the matirx system of your brain and that is where all wisdom and knowlege to know the knower rest,,,,

You were cretaed to survive around this palanet depending on how you combat and conqer limitness and boundaries across ways of your life ...

The pineal gland was given to you to connect you with the supreme being so that you could be aware about how nature is,,,,,the pineal gland could show you how the ability to create anything you want simply because you are the personal aspect of GOD hence you can create everything you want,,,


Simply because your pineal gland that activates your intuitions and ability to conqer the limitness is not active ndo mana unajikuta unaamini second hand informations from scientists who have already activated the pineal gland and found themsleves in the level to create and study deeply how nature is,,,

Your pineal gland has been calcified hence you can not sense the presence of the supreme being as the most hingh one....you have no ability even to sense the presence of the most high one,,,,


God can not reveal himself simply because he lives and dwells in another plane of reality,,to recognize that you as human being have to ascend and share the ability he has so that you can perfom as high miracles as him but the mode to reach there needs you to activate your potential of realm,,,

Am very sory to conclude that you know nothing about that,,,,even the little bit you know about nature keeps floating under darkness of reality....
Badala ya ku argue, unahubiri.

Sitaki mahubiri.

Unaweaza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Si kila kitu ukiseme moja kwa moja ndipo umanishe unataka nini!!
Kitendo cha kukataa jibu lake na kutaka jibu jingine au kutokuridhika na jibu lake ni wazi kwamba unataka jibu jingine.

Kutaka jibu jingine ni kudhani ana majibu zaidi ya la mwanzo.

Wewe umekataa hilo jibu, unasisitiza kupewa jibu jingine, unataka ujibiwe vp?
First thing first, mimi napenda kila kitu kinatakiwa kusemwa moja kwa moja.

Ndiyo mana kukiwa na utata natumia hesabu na logic kuondoa utata.

Ama sivyo naweza kuandika a kama z na z kama a tukawa hatuelewani.

Mpaka hapo tu tushapotezana.
 
Bado nasubiri uniite jina ulilochagua kuniita na nikakuruhusu,endapo tu utaonesha post ambayo mtu kasema akili ni uwezo wa kutambua uwepo wa mungu.

Nasubiri.
Umeniruhusu nikuite jina gani? Nikasemaje? Umeufuatilia huu mjadala?
 
Wewe utakuwa na matatizo makubwa sana.Na hii ni kwa sababu Mungu mwenye uwezo wote,upendo wote naujuzi wote unayesema kakuumba,hayupo.

Kiranga ktk maelezo yake yote hakuna aliposema haamini uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani.Anasema haamini kwa sababu dhana ya uwepo wake inajipinga yenyewe.Ni sawa na wewe uzaliwe bila kumjua baba yako.Na baada ya kufikisha umri wa miaka let say arobaini anatokea jamaa mwenye umri wa miaka 39 anadai yeye ndiye baba mzazi wako.Hivi kwa mazingira haya unahitaji mpaka mama mzazi wako(aliyefanya tendo na baba yako ukapatikana) awepo ili kujua kwamba kwa umri wako wa miaka 40 haiwezekani baba mzazi wako awe huyu wa miaka 39?

Hatuamini uwepo wa Mungu mjuzi wa yote,upendo wote na uwezo wote si kwa sababu haonekani bali hatuamini kupitia dhana ya uwepo wake ambayo imejipinga yenyewe hata kabla ya kupingwa na Kiranga.

Vipo vitu vingi tu visivyoonekana ila nakiri vipo.Na ni kwa sababu uwepo wake hauna contradictions.Mfano mtu kusema neno "kesho".
Mkuu, umeandika vizuri sana.

Kwa nini jambo rahisi kama hili linahitaji maelezo mengi?

Hawajui haya mambo kiukweli? Au ni wazushi tu wanaamua kufanya unazi kama ushabiki wa mpira?

Hata huo ushabiki wa mpira kuna rafiki zangu waliosoma Liverpool miaka 30 iliyopita, leo wamefungwa na Real Madrid, wamekubali kwamba wamefungwa na wamewapongeza Real Madrid, inakuwaje hawa watu wanakuwa wabishi hivi baada ya kuambiwa ukweli wa wazi kabisa?
 
Kila anaesoma huu uzi anajua kwamba Mshana Jr ameuliza swali, na swali lenyewe ni hili "una akili?" binafsi, nashindwa kuelewa unaposema KASHINDWA kuuliza swali.
Kashindwa kuuliza swali. Kwa sababu hilo swali alilouliza tukilichambua na kutaka ufafanuzi, tujue akizungumzia akili anazungumzia nini, tukimuuliza akili anayoizungumzia ni ipi, anashindwa kutujibu.

Ni kama mtu anataka kuja Marekani halafu anasema anatakakwenda Washington. Marekani kuna Washinton nyingi. Kuna Wshington DC, Mji Mkuu wa Marekani. Kuna Washington State, jimbo la Magharibi Marekani ufukwe wa bahari ya pasifiki, kuna vimiji kibao vinaitwa Washington almost kila jimbo, sasa mtu akisema anataka kwenda sehemu inaitwa Washington Marekani, inabidi ajieleze vizuri. Anataka kwenda Washington DC mji mkuu wa Marekani, anataka kwenda Washington State ya magharibi ufukwe wa Pasifiki, anataka kwenda Washington Township New Jersey, au anataka kwenda Washington ?

Sasa Mshana ananiuliza, upo Washington?

Mimi namuuliza "Washington ipi?" Ili nisimwambie ndiyo, kwa kuwa niko Washington Township Illinois, wakati yeye anamaanisha Washington State.

Nataka nilielewe swali vizuri, tuelewane kabla sijamjibu, ili nisimjibu visivyo.

Halafu kashindwa kufafanua anamaanisha Washington ipi?

Hapo Bill Gates alisema there is not enough information to conclusively answer this question.

In other words, the qiestion is incomplete.In other words, the question is deformed. In other words, there is no comprehensible question.

List of memorials to George Washington - Wikipedia
 
Mungu muweza yote (inamaana kushindwa hakupo) sentensi hiyo hiyo tena inapokuja kuingiza kushindwa kwa kitu hichohicho ilichokielezea kuwa na uwezo wote inaleta mkanganyiko na kupoteza maana yote.
Unaelewa "immanent critique" ni nini?
 
Bahati mbaya sana huu mjadala si mahala pake,

Hata hivyo kwa ruhusa ya mwenye Uzi Mshana Jr acha tu nikujibu,japo sitegemei tena kujibu comment iliyo nje ya post husika.

Kuna mahala mkuu Kiranga kajibu kwamba yeye ni mkiristo ktk mkutadha wa kukulia na kuitwa jina la kikristo.Lakini akabainisha kuwa si mkristo miongoni mwa waaminiyo Yesu kwamba ni bwana na mwokozi wao.

Kusema nibadili jina langu kisa limefanana na jina la mtu/kitu kisichoendana na mimi ni sawa na kumwambia mwanachadema aache kuishabikia Yanga kisa tu ina rangi za kijani na njano zenye mfanano na rangi wanazotumia Chama cha mapinduzi.
Mwenye timamu huwezi kumnasa kihivyo bali atajiuliza kati ya Ccm iliyozaliwa mwaka 1977 na Yanga ya mwaka 1935 nani alianza kutumia rangi husika.Na atakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kati ya rangi (ambazo ndizo zinatumika kama kigezo cha kuchukia kingine kisa tu leo zinatumikako) na hiki anachoambiwa akipende na kingine asikipende kipi kilianza!?

Kwa kifupi siamini ktk biblia na vitabu vingine vya dini sababu ya contradictions zake ambazo zimetokana na vitabu husika kutungwa na watu tu kwa faida wanazozijua wao.Na kwa hiyo siamini pia kama jina Emmanuel ndiyo chanzo cha hicho ukisemacho. Otherwise lete ushahidi ambao ni beyond reasonable doubt nami ntafanya maamuzi.
Asante kaka. Nashukuru sana kusikia kutoka kwako.
 
Kwa sababu haina logical consistency.

Kwa sababu ina contradiction.

Kwa sababu huwezi kuithibitisha kwamba ni ya uhalisia.

Kwa sababu huwezi kujibu akili ni nini.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hakuna swali ambalo lingeweza kujulikana na kiumbe wake lingekosa jibu.

Wewe kutoweza kujibu akili ni nini ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Kiranga una hoja za kitoto sana sijui kama unafanya tu kusudia au ndiyo una maanisha kweli hivyo.

Yani unaropaka tu mara sijui mungu angekuwa hivi mara sijui hivi ingekuwa vile, maana sasa imekuwa hata haieleweki yupi mungu na yupi binaadamu.

Yani hadi kuna muda uliniulizia baba ake mungu kama namjua,sijui hata kama unamjua huyu unayesema hayupo?
 
Back
Top Bottom