Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,506
- 151,754
Kwanza kabisa, hakuna sehemu niliposema umesahau lolote.Sasa umetoa wapi contradiction kwenye mfano wangu wa habari ya Kiranga? Ni wewe umesema nimesahau wakati mwandishi kaandika habari zake kuhusu Kiranga.
Kitu gani kilipelekea useme nimesahau contradiction? Vinginevyo uwe unamfaham Kiranga fika ndio utasema kuna conteafiction na mapungufu ya uandishi, hapo ndio nilpoweka uwezo na uelewa atakavyoamua.
Tuweke sawa hilo, tuondoe unachofikiri nimesema, na tubakishe nilichosema mimi.