Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,498
- 151,716
Basi hujaweza kuuliza swali bado.Sina jibu lingine
Hujui hata unachotaka kuuliza ni nini.
Basi hujaweza kuuliza swali bado.Sina jibu lingine
namshangaa hajui akishasema yote hajui kashamaanisha kila kitu kizuri na kibayaHivi kama ni muweza wa yote sasa kwa nini we umpangie cha kufanya?
Inamaana akiamua kuleta magonjwa ni uwezo wake
Akiamua kuleta kifo ni uwezo wake
Nimekuuliza swali Mungu wapi kajishuhudia mwenyewe hizo sifa au sisi wanadamu ndo tunamshuhudia kutokana na matendo yake? ukinipa andiko Mungu anajishuhudia mwenyewe naungana kama hauna andiko rudi tena tengeneza swaliMungu mwenye kujua yote,mwenye huruma yote,mwenye upendo wote,mwenye ujuzi wote na mwenye mamlaka yote hawezi kuruhusu kifo kwa binadamu!
Mungu mwenye upendo na wa kuweza yote hawezi kujielezea kwa mabaya kwa watu wake ng'ooo!!Kwani Mungu anajielezea ivvyo tuu kwa viumbe wake? tuanzie hapo
Kwa nini hiyo iwe choice yake, wakati inaumiza watu wengi sana wanaotenganishwa na wapenzi wao, ndugu zao etc?
Kwanini choice ya watu kuishi bila kufa ambayo isingeumiza watu na ina make sense kwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote haikuwa choice yake?
Mungu anafanya recycling kwani anaogopa kuharibu mazingira?
Thibitisha yupo.
Ondoa contradictions katika dhana ya kuwepo Mungu.
Hapangiwi cha kufanya.Hivi kama ni muweza wa yote sasa kwa nini we umpangie cha kufanya?
Inamaana akiamua kuleta magonjwa ni uwezo wake
Akiamua kuleta kifo ni uwezo wake
Dhana ya Mungu wenu kuwepo ina contradiction.namshangaa hajui akishasema yote hajui kashamaanisha kila kitu kizuri na kibaya
Wewe hata huelewi imani ni nini.Uthibitisho wangu ni wa kiimani zaidi kitu ambacho wewe huna..kwanza tu hivi hamuoni ajabu kwamba non believer ni asilimia chache sana ulimwenguni kuliko believers walio wengi ?
Mi nilijua umeleta andiko kumbe unaleta porojo.....hahahaaaaaMungu mwenye upendo na wa kuweza yote hawezi kujielezea kwa mabaya kwa watu wake ng'ooo!!
Umeshindwa kuuliza swali la akili.Hiki ndio utabaki nacho sasa huna kingine cha kuandika zaidi
Andiko kutoka kitabu gani? Nishaleta contradictions lukuki kutoka Biblia na Quran kuonesha kwamba vitabu hivyo vinajipinga vyenyewe na vimeandikwa na watu tu.mi n
Mi nilijua umeleta andiko kumbe unaleta porojo.....hahahaaaaa
mkuu "" unatoa hii statement " huku ukiwa umesahau kuwa " manji alifutiwa mashitaka na DPP ...jitahidi mnoo kuwa unatofautisha " kati ya mtuhumiwa na muhalifu "sasa inabidi utueleze hizi dalili tunaziziona za kutumua madawa ndani kwako (tuki-assume wote tumewafungia ndani bila kutoka) na hakuna mwenye uwezo wakutoka nje .wote mmelewa na vipimo vinaonyesha mmetumia sasahivi na hamjatoka ndani tangu mzaliwe mpaka mnakufa.hapo sitakua na haja ya kuyaona madawa kwani effect ya madawa imeshaonekana .manji hakuonekana na madawa ila effect ilionekana akaadhibiwa.
Umeshindwa kuuliza swali la akili.
Tuendelee.
Nimeuliza hapo juu.
Unaona unavyokimbia mada kizembe sasa.. Kiranga huwezi kuandika chochote nje ya haya[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya, kwa nini hakuumba ulimwengu huo, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Kinara mbishi asiyekubali kuwa kuna Mungu. Mbishi kwa viwango vyote unavyojua ila mwepesi wa hoja.
Kiranga sio atheist, kwa tafsiri rahisi atheist ni mtu asiyejua lolote kuhusu Mungu ama miungu (Hana ABC zozote kuhusu hizo imani za Mungu na miungu)
Kiranga sio mmojawapo. Kiranga ni mmojawapo wa wale waliokengeuka imani, walizaliwa katika ukristo wakabatizwa na kuishi maisha ya ukristo... Lakini along the way wakabahatika kusoma doctrines za kikristo, Mungu nk.
Ni katika hizo doctrines wakashindwa kukubaliana na vifungu kadhaa hivyo wakakengeuka na kuwa wapinga Uwepo wa Mungu mkuu.
Ni watu wenye elimu kubwa kuhusu dini hasa ukristo halafu wakasoma na doctrines nyingine zinazopinga uwepo wa Mungu na kuchagua kuyaamini hayo.
Kipengele muhimu hawa watu wasio waaamini ni kule kutaka wanachokikwepa ni kile cha kutotaka kutambua kuwa ishu za kiroho, Kimungu hazina ithibati za kisayansi.
Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?
Kwahiyo Kiranga anataka umuoneshe Mungu as if ni kitu solid. Kiufupi hawa sio atheists bali non believers!!!
Wewe unataka mtu athibitishe kuwa yupo na aondoe contradictions.Nimethibitisha kwamba Mungu huyo hayupo na hawezi kuwepo.
Kwa proof by contradiction.
Mungu huyo kuwepo ni sawa na kusema square root ya 2 ni 10 katika base 10 math.
Hayana majibu na huna kingine zaidi ya marudio yale yale huku ukishindwa kabisa japo kujaribu kujibu kama una AKILI ama huna AKILIUmesema sina kingine, naleta kingine, unasema siwezi kuandika chochote nje ya haya?
Hayo umeyajibu?