Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Unaweza kukubali kwamba umeandika nimeandika kitu ambacho sijaandika?

Unaweza kukubali kwamba uliacha kuandika kama maelezo yana contradiction au hayana, jambo ambalo bila ya kuliandika, hatuwezi kufikia conclusion yoyote ya kueleweka?

1. Nimeshakubali hilo ndio maana nikanukuu na kusema sawa, kuanzia sasa ntakua nakunukuu.

2. Naomba uheshimu nilichokiandika. Usome tena mfano wangu kisha unijibu.

Nilienda mbali nikasema wasomaji tofauti wenye uelewa na uwezo tofauti watakuja na mawazo tofauti kuhusu watakachosoma, unakumbuka ulichosema kuhusu hilo.

Narudia tena, baada ya kusoma huo mfano, kitu gani kinakulazimisha au kinapelekea wewe kusema kuna kitu kimeachwa kuandikwa na mwandishi?
 
1. Nimeshakubali hilo ndio maana nikanukuu na kusema sawa, kuanzia sasa ntakua nakunukuu.

2. Naomba uheshimu nilichokiandika. Usome tena mfano wangu kisha unijibu.

Nilienda mbali nikasema wasomaji tofauti wenye uelewa na uwezo tofauti watakuja na mawazo tofauti kuhusu watakachosoma, unakumbuka ulichosema kuhusu hilo.
Nimeheshimu ulichoandika, ndiyo maana nimekijibu.

Wewe ndiye hujaheshimu nilichoandika mimi, kwa sababu nimekuuliza swali umelidharau, hujalijibu.

Nimekuuliza hivi

"Unaweza kukubali kwamba uliacha kuandika kama maelezo yana contradiction au hayana, jambo ambalo bila ya kuliandika, hatuwezi kufikia conclusion yoyote ya kueleweka?"

Habari yenye contradiction wasomaji tofauti wataisoma na kuielewa tofauti, wengine wataiona contradiction, wengine hawataiona.

Sijauliza kuhusu wasomaji watakavyoielewa, nauliza kuhusu ukweli wa habari.

Ina contradiction nyingi na za wazi au haina?

Hujajibu swali hili.

Unanijibu wasomaji tofauti wataisoma habari na kuielewa tofauti.

Hujajibu swali uliloulizwa na swali ulilojibu si uliloulizwa.

Jibu swali uliloulizwa.
 
Nimeheshimu ulichoandika, ndiyo maana nimekijibu.

Wewe ndiye hujaheshimu nilichoandika mimi, kwa sababu nimekuuliza swali umelidharau, hujalijibu.

Nimekuuliza hivi

"Unaweza kukubali kwamba uliacha kuandika kama maelezo yana contradiction au hayana, jambo ambalo bila ya kuliandika, hatuwezi kufikia conclusion yoyote ya kueleweka?"

Hujajibu swali hili.

Kujibu haimaanishi umeheshimu. Hata mimi nilikujibu na bado ukasema sijaheshimu maandiko yako.

Nimeeleza kirahisi mno, msomaji anapokutana na maandiko ya huo mfano nilioutoa kuhusu Kiranga na habari zake, sijaandika au kutaja popote kuhusu contradiction.

Kuna wasomaji wengine achilia mbali kuifafanua hiyo contradiction, hawalielewi neno lenyewe.

Huko napo ukasema tuweke kando uelewa wa wasomaji. Lakini hapa unachokifanya ni kuingiza uwezo na uelwa wa wasomaji kitu ulichokikataa.

Matokeo yake unataka mwandishi aseme kwamba maelezo yake yana contradiction au hayana.

Kwanini haujibu ni kipi kimekupelekea kuandika kwamba kuna kitu hakijaandikwa? Na Je, kila msomaji ataona kitu hakijaandikwa au vitu havijaanadikwa?

Jibu kwanza hilo.
 
Nimesema kwamba wewe hujaandika kama maandishi yana contradiction au hayana.

Kitu ambacho ni kweli.Hujaandika hilo, hata baada ya kukuomba ueleze, unasema kila msomaji ataelewa kivyake.

Na kama hatujui hilo, siwezi kujadili habari zako zaidi.

Kwa sababu kwangu, natumia contradiction kuchuja uongo kutoka ukweli.
 
Kila msomaji anaelewa unachokiita contradiction?
 
Siongelei msomaji.

Naongelea habari yenyewe, factually.

Naweza kuandika 1 + 1 = 2, katika base 10 math.

Mtu akaona nimekosea, akawa anaona 1 + 1 = 11.

Huyo kutoelewa nilichoandika haina maana nilichoandika kina makosa.

Sasa wewe badala ya kuongelea ukweli, fact, unajificha nyuma ya habari za "wanaosoma wanaweza kukosea".

Of course wanaosoma wanaweza kukosea, lakini, ukweli ni upi?

Na kama huwezi kuniambia ukweli ni upi, habari ina contradiction au haina contradiction, kwa nini uendelee kuniambia chochote?

Kama wewe unayetaka kuniambia habari, huijui hiyo habari kwa uhakika, unategemea vipi mimi niijue?
 
Tokea mwanzo sijaongelea uwezo wa uelewa wa mwandishi. Nilisema uwezo wa uelewa wa wasomaji. Kitu ambacho ulikipinga awali.

Unakubali turudishe uelewa wa wasomaji na uwezo wao ili turudi kuona watakavyo pokea habari za Kiranga?

Naona tunazunguka palepale kwa kubadili maneno tu.
 
Nani kaongelea uwezo wa uelewa wa muandishi?

Habari ina contradiction au haina?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Ushahidi nimeutoa wa proof by contradiction.

Unachosema hapo ni sawa na mtu aseme "pembe tatu duara ipo, ila wanaoisema ndio wanakosea na unapata sehemu ya kuipinga, ila pembettu duara ipo, yenyewe haisemi, ila ipo tu".

Nikikwambia hivyo utakubali?
Unajua kuwa hata hao waumini wa dini na hivyo vitabu pia hutofautiana baadhi ya maelezo yenye kumuhusu mungu?na hufanya kila mmoja kuona mwenzie anaabudu mungu tofauti kutokana na kuwa na maelezo yenye kutofauti kuhusu Mungu.

Na kuna ambao hawaamini kabisa dini wala hivyo vitabu vya dini ila wanaamini kuwa kuna mungu na ndiye muumbaji,wao pia huona hivyo vitabu vina maelezo ya uongo kuhusu mungu,na ndiyo maana watu hawa huunga mkono hoja zako kuhusu contradictions kwa sababu zinajadili maelezo ya kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu na wao hawakubaliani na hivyo vitabu.

Ndiyo maana nasema hoja ya contradictions haiondoi imani au dhana ya kuwa kuna mungu bali hoja ya contradictions inahusu maelezo ya kwenye vitabu vya dini,sasa wewe atheist unachofanya ni kutumia hoja ya contradictions kutaka kusema hii dhana/imani ya kuwa kuna mungu iyonekane si kweli kisa contradictions.
 
Nani kaongelea uwezo wa uelewa wa muandishi?

Habari ina contradiction au haina?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kwenye habari yangu ya mfano nilioutoa nimeandika Mungu?
Hiyo sio hoja sana, mtiririko uliounukuu ni ule niliotoa mfano wa Kiranga.

Unachokiita wewe contradiction kinaweza kumaanisha kitu kingine kwa mwingine (uwezo wa msomaji).
 
Kama lipo, silijui. Ndiyo maana nikakupa nafasi unifahamishe tulijadili kama unaona lipo.

Maana na mimi naweza kujifunza kitu kipya ambacho sijakijua hapo awali.

Binadamu wote tunajua tunaota
Na hata sayansi inathibitisha kwamba ndoto ni kitu ambacho kipo.

Je unaweza kufanya vipi validity ya ndoto?
 
Sasa tuthibitishie wewe kwamba vilivyomo havijaumbwa na Mungu na pia tuthibitishie kuwa hakuna uwepo wa Mungu
Havijaumbwa kwa kuwa wewe unayedai vimeumbwa hauna uthbitisho huo wa kuumbwa.

Hakuna uwepo wa mungu kwa kuwa dhana ya kuwako mungu inajipinga toka mwanzo.

Na huwa hatuthbitishi kisichokuwako kuwa kipo.
 
nilijua tu kuwa utakosa jibu na kuandika pumba.
 
Nimeandika pumba kwa kuwa zina walaji, zisingekuwa na walaji usingejua kuwa ni pumba.

Nimekwambia siwezi kuthbitisha kisichokuwepo na huwa mtu hathibitishi kisichokuwepo kuwa kipo, uthbitishwa kilichopo kuwa kipo.

Umethbitisha kuwa mungu yupo?
 
S unaona sasa..sasa mi nlikwambia uthibitishe uwepo wake ?? kumbe hata swali langu hukulielewa.
Kwa faida ya wote narudia swali:

Thibitisha kutokuwepo kwa Mungu na pia thibitisha kuwa vilivyomo duniani na mbinguni havijaumbwa na Mungu.

Tuthibitishie hayo ili na sisi tunaoamini uwepo wa Mungu tuweze kupima hoja zako.
 
Unajua kuwa hata hao waumini wa dini na hivyo vitabu pia hutofautiana baadhi ya maelezo yenye kumuhusu mungu?na hufanya kila mmoja kuona mwenzie anaabudu mungu tofauti kutokana na kuwa na maelezo yenye kutofauti kuhusu Mungu.

Na kuna ambao hawaamini kabisa dini wala hivyo vitabu vya dini ila wanaamini kuwa kuna mungu na ndiye muumbaji,wao pia huona hivyo vitabu vina maelezo ya uongo kuhusu mungu,na ndiyo maana watu hawa huunga mkono hoja zako kuhusu contradictions kwa sababu zinajadili maelezo ya kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu na wao hawakubaliani na hivyo vitabu.

Ndiyo maana nasema hoja ya contradictions haiondoi imani au dhana ya kuwa kuna mungu bali hoja ya contradictions inahusu maelezo ya kwenye vitabu vya dini,sasa wewe atheist unachofanya ni kutumia hoja ya contradictions kutaka kusema hii dhana/imani ya kuwa kuna mungu iyonekane si kweli kisa contradictions.
Kwa hiyo unakubali Mungu wa kwenye vitabu ana contradictions na hayupo ni wa kutungwa na watu tu?
 
Kwenye post yangu ya kwanza nilijua mleta mada atatoka mpio, nikavuta subira labda kaja Na jipya kuliko wengine walio tangulia. Nimegungua hajajipanga ana onekana majukwaa mengine kakimbia mjadala, jibu akili ni nini? Naona ana anaenda kwa style ya kunyakua huku Uzi ukifika page 1400
 
S unaona sasa..sasa mi nlikwambia uthibitishe uwepo wake ?? kumbe hata swali langu hukulielewa.
Kwa faida ya wote narudia swali:

Thibitisha kutokuwepo kwa Mungu na pia thibitisha kuwa vilivyomo duniani na mbinguni havijaumbwa na Mungu.

Tuthibitishie hayo ili na sisi tunaoamini uwepo wa Mungu tuweze kupima hoja zako.
Kutokuwepo kwa mungu ni dhana uwepo wake kujipinga.

Mwenye upendo wote kuumba dunia hii yenye kuwezekana kuwako kwa mabaya, mabaya yote kuwako ni uthbitisho kuwa mungu hayupo
 
Back
Top Bottom