Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kila mtu anakwepa kujibu swali aliloulizwa na mwenzake. Nadhani labda ni katika hofu ya kuogopa kuwa akilijibu atakuwa kajiingiza kwenye mtego ambao utakuwa mgumu kujinasua.

Matokeo yake ni kuishia kucheza mduara wa kunyoosheana kidole....huyu anasema ‘jibu swali langu kwanza’ na yule anasema ‘nawe jibu swali langu, mimi ndo nimeuliza kwanza’.

Kingine kilichopo hapa nilichokiona ni kile kinachoitwa ‘priming’ katika saikolojia.

Ila tatizo kubwa zaidi ninaloliona hapa ni watu kushindwa kuelewa maana ya imani ni nini na ukweli/ uhalisia ni nini.

Ukishajua maana ya hivyo viwili, mjadala unafungwa kabisa.
 
Kwa kweli Mungu kama yupo, halafu anajifichaficha, anajifanya kuwa mgumu kueleweka, watu wakikutana naye mbinguni wana haki ya kujitetea kwamba hawakumjua na hawakumkubali kwa sababu alijificha na hakujiweka wazi.

Kwamba yeye ndiye mwenye makosa kwa kutojiweka wazi, na si kwamba watu wana makosa kwa kutomfuata.

Haiyumkiniki Mungu huyu awepo.
Mkuu mungu Beyonce yupo wazi anaonekana.
 
mshana jr with due respect musche kiranga sio level yako itunze heshima yako humu jf wewe ni bingwa katika mada zako ila mambi ya dini muachie jamaaa
kilanga anajua dini gani mkuu
 
sasa hapo anayepswa kuprove " nihao wanaodai " kuwa Fulani na Fulani wametumia" nasio mimi ambaye najuwa kuwa nyumbani kwangu hakuna madawa " upo ??
sisi tumeshakuhakikishia kwa kukuonyesha vile ambavyo vimetokea kupitia hayo madawa kama vipimo,na situation ya watumiaji ambayo haiwezi kutokea yenyewe ingawa madawa tumeshindwa kuyaona ila tunaona matokeo ya hayo madawa wewe unayebisha utuambie hayo matokeo ya madawa ambayo hata wewe unayo yametokeaje nyumbani kwako?
 
sinawao walikarilishwa hayo hayo mavijitabu "" ambayo " wana mkarilisha mtoto " hii haiwezi kuwa mantiki sahihi ya kisema kuwa Mungu muweza wa yote ana exist" MAana tulipaswa kuona mtoto akiwa anezaliwa na uelewa wa kumjua Mungu Tayari kutokana na uzito wa neno lenyew la muweza wa yote "" sasa muweza wa yote inakuwaje anasaidiwa na binaadamu tena ili kuweza kufahamika kuwa yupo """
Sasa wewe hoja yako ndiyo haina mantiki,kwa sababu suala la uwepo wa mungu lisingekuwa la imani tena kama kila mtu angefanywa hivyo unavyotaka.
 
Mindset yako ilishakataa uwepo wake so hata ukitibitishiwa uwepo wake still utapinga. So mtu kama wewe na wa aina yako ni kuachwa uamini kile unachokiamini na huenda iko siku utakuja kuujua ukweli na kujiona ulikosea sana.
Na mimi naweza kukwambia mindset yako ilishakubali uwepo wake so hata nikikuonesha contradictions za wazi kwamba hayupo utakataa.
 
Kati yangu mimi na wewe Kiranga ni nani kashindwa kujibu... Hebu kuwa mkweli
Katikanested loops ha[po wewe umeshindwa kujibu.

Mshana: Kiranga, una akili?
Kiranga: Akili ni nini?

Mshana kashindwa kujibu anarukaruka.

Hapo nani kashindwa kujibu?
 
Sasa wewe hoja yako ndiyo haina mantiki,kwa sababu suala la uwepo wa mungu lisingekuwa la imani tena kama kila mtu angefanywa hivyo unavyotaka.
fafanua hapa"" tafadhali"" kwanini imani isingekuwepo """?
 
sisi tumeshakuhakikishia kwa kukuonyesha vile ambavyo vimetokea kupitia hayo madawa kama vipimo,na situation ya watumiaji ambayo haiwezi kutokea yenyewe ingawa madawa tumeshindwa kuyaona ila tunaona matokeo ya hayo madawa wewe unayebisha utuambie hayo matokeo ya madawa ambayo hata wewe unayo yametokeaje nyumbani kwako?
mmetumia madawa " na nyumbani kwako kuna madawa "" ni kauli mbili zenye " madai tofauti...yaweza kuwa tumetumia madawa kweli "" lakini sio hapa nyumbani kwngu"" yaweza kuwa tumetumia madawa kweli " lakini nyumbani kwangu hakunà madawa...so nyie mnaosema kuwa haya madawa tuliyotumia yapo nyumbani kwangu ndio mnapswa kuthibitisha mksemecho"" maana mimi Mwenye nyumba nimesha waambia kuwa nyumbani kwangu hakuna madawa """......so mnapaswa kuni prove wrong kwa kuwa na ushahidi wa madawa yaliyopatikana nyumbani kwangu"".......
 
mjadala umekwama palepale sisi wengine tunapita kila saa tuone kama umesogea. Ila nauona kama vile unaweza kumshusha au kumpandisha mtu hadhi ya kimjadala. Ngoja tuone mwisho utakuwaje.
 
nimekumbuka msemo mmoja wa kisheria ambao PLO Lumumba aliutumia sana ktk utetezi wake kwa Wafula Chebukati ktk kesi ya uchaguzi mkuu huko Kenya hivi karibuni, alikuwa kila saa lazima aseme " Who alleges must prove" sijajua inaweza kuhusikaje hapa labda akina @Mselewa wanaweza kusaidia.
 
Back
Top Bottom