hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,266
Atamuamini kwa sababu ya slave mentality zake ktokan na kasumba iliyofanywa na walioasisi hilo neno la Mungu"" ndio maana nilikwambia...hujawahi kuona Jamii yenye mtazamo unao amini uwepo wa samaki mtu "" unadhani kwanini wanaamini hivyo ??Na ndiyo maana nikakuuliza neno mungu lina maana gani,sasa huyo Beyonce nae kajiita hivyo kutokana na maana ya hilo neno kwa maana hiyo mtu ambaye ataona ni kweli ana sifa hizo ni atamuamini.