Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,516
- 151,785
Nikiwa nakuja kwako kukutembelea, sina hakika kwamba upo, lakini nafikiri utakuwepo, niko njiani nakuja. Hapo naamini utakuwepo kwako. Sijajua bado.Kumbuka nia yangu ni kutaka kujua utofauti wa kujua n kuamini na si vinginevyo.
Najibu swali lako kwanza kuwa mungu hana baba wala mama.
Umesema baba ako humjui wala humuamini,je kujua maana yake nini?
Nikifika kwako, nikakuona, nikahakikisha kwa jinsi yenye logical consistency, isiyo na contradiction, iliyo testable, kwamba upo nyumbani kwako, nakuwa nimejua upo kwako. Siamini tena. Nimejua.
Ushaelewa tofauti ya kuamini na kujua?
Sent using Jamii Forums mobile app