Hivi Mkuu, unamaanisha ya kwamba huu ulimwengu ulitokea tu bila ya yeyote yule aliye mastermind viumbe na vitu vyote kutokea?
Nieleze kisayansi, vitu vyote ulimwenguni origin yake ilikua ni nini? .. Pia useme kbl ya dunia na sayari zote, jua, mwezi nyota na kila kitu kuwepo kulikua na nini? ... Kila kitu ueleze kisayansi
Kwanza kabisa, simaanishi ulimwengu ulitokea tu.
Pili, kuongelea "yeyote" ni kuongelea mtu/ nafsi. Hii ni bias inayotokana na udhaifu wa mawazo yetu kwa sababu tunaangalia mambo kwa scale yetu ya universe.
Tatu, suala zima la "cause and effect", linalozaa swali la ulimwengu umeanzaje, ni suala linalokuja kwa kufikiri kwamba time is a real and absolute thing.It is not. In quantum physics, at the singularity inside a black hole, time can begin in a new baby universe. Some aspects of quantum physics, especially through the Copenhagen interpretation, allow for causality to break and effects to happen before or outside the lines of causes.
Nne, mtu kutojua jibu sahihi la swali haina maana hawezi kujua jibu fulani si sahihi. Usifanye kwamba mtu kutojua chanzo cha ulimwengu basi maana yake umeumbwa na Mungu. Mtu anaweza kuwa hajui ulimwengu umeanzaje, lakini akajua kwamba ulimwengu haujaumbwa na mtoto wake. Kwa sababu mtoto wake alipozaliwa,huyo mtu tayari alikuwepo.
Katika base 10 math, mtu anaweza kuwa hajui square root ya 2 ni nini. Lakini akajua kwamba ni lazima iwe ndogo kuliko 2. Hivyo ukimwambia square root ya 2 ni 10, hata kama hajui square root ya 2 ni nini, anaweza kujua haiwezi kuwa 10. Kwa sababu kwanza 10 ni kubwa kuliko 2 na kwa hivyo haiwezi kuwa square root ya 2, lakini pia test ya ku square 10 haitupi 2, inatupa 100.
Kwa hiyo, maswali tusiyoyajua majibu yake, tusiyape jibu la Mungu tu, tuyachunguze tuyajue vizuri. Na tunaweza kuyachunguza kwa "elimination method". Kama vile uunavyoweza kusema "natafuta square root ya 2 kwa elimination method.
- Square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa zaidi ya 2 (kwa sababu namba ikiwa kubwa zaidi ya 2, uki i squared jibu litakuwa kubwa kuliko 2)
-Square root ya 2 haiwezi kuwa ndogo zaidi ya 1 (kwa sababu 1 squared ni moja)
- Square root ya 2 ipo kati ya 1 na 2
Tutafute square root ya 2 to 3 decimal places
Tuchukue namba iliyo kati kati ya 1 na 2 tuijaribu
1.5 squared ni 2.25 hii bado ni kubwa kuliko 2
Tuchukue namba iliyo kati ya 1.5 na 1 tuijaribu.
1.25 squared ni 1.5265 hii ni ndogo kuliko 2, tunahitaji kubwa zaidi
Tuchukue namba iliyo kati ya 1.25 na 1.5, tuijaribu
1.375 squared is 1.890625, we are getting there, but not quite there yet. It needs to be bigger.
Tuchukue namba iliyo kati ya 1.375 na 1.5
1.4375 squared is 2.06640625. It needs to be a little bit smaller.
It needs to be between 1.4375 and 1.375
1.40625 squared 1.9775390625. Getting there. It needs to be just higher.
It needs to be between 1.40625 and 1.4375.
1.421875 squared is 2.021728515625. Almost there. Let's make our answer accurate to 4 decimal places.
It needs to be between 1.421875 and 1.40625
1.4140625 squared is 1.99957275390625. Pretty close, but let's nail it higher.
It needs to be between 1.4140625 and 1.421875
1.41796875 squared is 2.010635375976563. It needs to be a tad smaller.
It needs to be between 1.41796875 and 1.4140625
1.416015625 squared is 2.005100250244141. It needs to be a teeny bit smaller.
It needs to be between 1.416015625 and 1.4140625
1.4150390625 squared is 2.002335548400879. It needs to be a teeny weeny bit smaller.
It needs to be between 1.4150390625 and 1.4140625
1.41455078125 squared is 2.000953912734985.
Kwa nini nimeandika namba zote hizi.
1. Kuonesha kwamba, unaweza kujua jibu lisilo sahihi hata kama hujui jibu sahihi, kama unajua kanuni fulani za msingi.
2. Kuonesha kwamba unaweza kuona convergence kuelekea kwenye jibu sahihi inaelekea wapi, na wapi pa kuachana napo, hakuna jibu sahihi.
Habari za Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba dunia hii yenye mabaya mengi ziko nje ya convergence ya jibu sahihi. Tuachane nazo, zina contradiction.
Tutafute majibu katika habari zilizo katika convergence ya majibu sahihi.
Hutakiwi kutafuta square root ya 2 kwenye namba zilizo kubwa kuliko 2.
Ukifanya hivyo hutapata jibu sahihi.
Hutakiwi kutafuta chanzo cha ulimwengu kwenye habari za Mungu.
Ukifanya hivyo, hutapata jibu sahihi.