Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga umeshindwa hoja, ulitakiwa ujibu kama akili unazo au huna ila hadi sasa nimeamini kwamba huna akili kwa sababu huwezi kuwa nazo alafu usijue akili ni nini. Period
 
Kila mtu anakwepa kujibu swali aliloulizwa na mwenzake. Nadhani labda ni katika hofu ya kuogopa kuwa akilijibu atakuwa kajiingiza kwenye mtego ambao utakuwa mgumu kujinasua.

Matokeo yake ni kuishia kucheza mduara wa kunyoosheana kidole....huyu anasema ‘jibu swali langu kwanza’ na yule anasema ‘nawe jibu swali langu, mimi ndo nimeuliza kwanza’.

Kingine kilichopo hapa nilichokiona ni kile kinachoitwa ‘priming’ katika saikolojia.

Ila tatizo kubwa zaidi ninaloliona hapa ni watu kushindwa kuelewa maana ya imani ni nini na ukweli/ uhalisia ni nini.

Ukishajua maana ya hivyo viwili, mjadala unafungwa kabisa.
Anayekwepa ni nani? I mean at the first place!?
 
Katikanested loops ha[po wewe umeshindwa kujibu.

Mshana: Kiranga, una akili?
Kiranga: Akili ni nini?

Mshana kashindwa kujibu anarukaruka.

Hapo nani kashindwa kujibu?
hapo ni jibu ama ni swali!? Kiranga don't be funny kwenye mitihani yako ulikuwa unajibu swali kwa jibu ama swali kwa swali? Be true
 
Anayekwepa ni nani? I mean at the first place!?

Wote, wewe na Kiranga.

Sijaona wewe ulipojibu swali lake na sijaona yeye alipojibu swali lako.

Suala la ‘who asked first’ is neither here nor there!
 
Kiranga umeshindwa hoja, ulitakiwa ujibu kama akili unazo au huna ila hadi sasa nimeamini kwamba huna akili kwa sababu huwezi kuwa nazo alafu usijue akili ni nini. Period
Nailed...! Ngoja misukule yake ije sasa na maelezo marefu badala ya majibu
 
.....
....huu mjadala umejaza watu wengi kwelikweli ...haya Makitu ni nadra sana humu jamvini wengine Hawatupii ila kuna watazamaji na washangiliaji Alaaniwe anayeichukia J4 Makitu kama haya yanasuguwa ubongo ulio na KUTU
 
Afu mimi jina la utoto ni kiranga...silitumii tu.
Anyway huwa nikifikiri simple logic kama dunia ikisimama dk moja itakuwaje ? Who made this solar system to be so automated?

Solar system imekuwepo miaka zaidi ya mil 1 bila kuwepo physical & chemical errors ; how is this possible?

Kwenye sayansi huwezi tegeneza kitu kika run mil of years bila maintenance wala errors.
Who is maintaining this solar system? How?

Nikifika hapo huwa nagota na kusema "MUNGU yupo"

Kuna jamaa mjinga mmoja aliniambia eti baada ya miaka 1000 watu watagundua uhalisia nini kiliumba dunia na nature na viumbe vyote akiwemo Mwanadamu akasahau kwamba dunia imekuwepo miaka millions, mbona hiyo miaka 1000 na si millions iliyopita?

Nitamwabudu Mungu wa Ibrahim; Mungu wa Elia.
 
I just did and didn’t see any definition defining ‘akili’.
Ok then I knew it for sure now please do me a favor let me ask you (this is between me n you) Henry una AKILI?
 
Afu mimi jina la utoto ni kiranga...silitumii tu.
Anyway huwa nikifikiri simple logic kama dunia ikisimama dk moja itakuwaje ? Who made this solar system to be so automated?

Solar system imekuwepo miaka zaidi ya mil 1 bila kuwepo physical & chemical errors ; how is this possible?

Kwenye sayansi huwezi tegeneza kitu kika run mil of years bila maintenance wala errors.
Who is maintaining this solar system? How?

Nikifika hapo huwa nagota na kusema "MUNGU yupo"

Kuna jamaa mjinga mmoja aliniambia eti baada ya miaka 1000 watu watagundua uhakisia nini kiliumba dunia na nature na viumbe akiwemo mwanadamu akasahau kwamba dunia imekuwepo miaka millions, mbona hiyo miaka 1000 sasa?

Nitamwabudu Mungu wa Ibrahim; Mungu wa Elia.

Unaamini mungu yupo au unajua mungu yupo?
 
fafanua hapa"" tafadhali"" kwanini imani isingekuwepo """?
Kama watu wote wangezaliwa na uelewa wa kuhusu mungu basi suala la uwepo wa mungu lisingekuwa jambo la imani tena kwamba kuna watakaoamini na watakaokataa kuamini.

Mungu anataka wewe umuamini na si kwamba kashindwa kukufanya wewe kuwa hivyo ambavyo wewe ungetaka afanye.
 
hapo ni jibu ama ni swali!? Kiranga don't be funny kwenye mitihani yako ulikuwa unajibu swali kwa jibu ama swali kwa swali? Be true
Akili ni nini?

Jibu swali nielewe unachouliza ili nikujibu vizuri.

Kwa sasa swali lako lina mawenge ambayo hujaweza kuyanyambulisha.

Unauliza kama nina akili, wakatihata wewe mwenyewe huwezi kujielezea ukaeleweka, unaposema"akili", unamaanisha nini?
 
Kauliza swali ambalo linahitaji ufafanuzi?

Behaviourist katoa mfano mzuri alivyoulizwa "una elimu"? Ikabidi atafute kujua elimu inayoulizwa ni ipi, asije kujibu ana elimu kwa sababu kasoma VETA, kumbe watu hawahesabu VETA kama elimu,wanaona elimu ni kuanzia degree, VETA ni kufuta ujinga tu.
Hata neno kiti pia kuna viti vya ofisini na vya nyumbani,lakini hiyo haibadili maana ya neno kiti.

Hivyo neno elimu maana yake itabaki pale pale iwe ya veta, kuanzia degree na hata darasa la saba.
 
Hata neno kiti pia kuna viti vya ofisini na vya nyumbani,lakini hiyo haibadili maana ya neno kiti.

Hivyo neno elimu maana yake itabaki pale pale iwe ya veta, kuanzia degree na hata darasa la saba.
Mwambie Mshana ajibu tuendeleena mjadala.

Akili ni nini?

Ameukwamisha mjadala tunazunguka hapahapa siku ya pili kwa nini?
 
Akili ni nini?

Jibu swali nielewe unachouliza ili nikujibu vizuri.

Kwa sasa swali lako lina mawenge ambayo hujaweza kuyanyambulisha.

Unauliza kama nina akili, wakatihata wewe mwenyewe huwezi kujielezea ukaeleweka, unaposema"akili", unamaanisha nini?
Kiranga una AKILI ama huna AKILI? Tumerudi square one.. Kuwa mkweli na mweledi... Nijibu kwanza kisha ndipo nami nitakujibu akili ninini
 
Kiranga una AKILI ama huna AKILI? Tumerudi square one.. Kuwa mkweli na mweledi... Nijibu kwanza kisha ndipo nami nitakujibu akili ninini
Akili ni nini?

Unauliza kitu ambachohata kukifafanua unachouliza ni nini hujui?

Nijibu swali ambalo wewe mwenyewe unayeuliza hujaweza kulifafanua?
 
Back
Top Bottom