mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Haujamjibu bdo.Kama hajui basi kakosa! Akiri kutojua basi
Kuna maswali ujibiwa kwa maswali ili kupata maelezo kamili na maana zaidi.
Hata ungeniuliza mimi "una elimu" ningekuuliza elimu ni nini hiyo unayotaka kujua kama ninayo au sina.
Akili ni nini?