Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 480
Ukiangalia wafuasi wako kiranga wanavokuaminia kwa fact na sasa unashindwa kujibu kama una akili au huna basi wafuasi wako Mimi naweza kuwajibia kuwa hawana akili ila ww ambae hujui hata maana ya akili napata ukakasi kabisa... ....