Ha ha ha!Kati ya vitu vinavyofanya JF kuwa bora ni kuwa na members wenye uwezo wa kujenga hoja kwa hivyo si suala la kumtaja fulani na fulani. Na Kiranga wote tunamjua ila sijui wewe umetumia vigezo gani hadi ukaona Kiranga ana sifa za kujua kujenga hoja?
Kuwasemea wengine sio jukumu langu.Nikipingana na mtazamo wako nitahitajika kupimwa akili.. Lakini wewe usipende kuwasemea wengine...
Huyo jamaa anaongoza kuwepo kwenye nyuzi nyingi zenye mabishano ya uwepo wa Mungu na tabia yake ya kuanzisha mabishano hayo hata kwenye mada zisizo na mweelekeo huo na ana sifa ya ubishi,hayo ndio yamempa umaarufu na kuwa kinara kwa wapingaji wa uwepo wa Mungu humu. Kama hayo ndio uwezo wa kujenga hoja kwako basi sawa ila kwangu hapana.Ha ha ha!
Wewe umetumia vigezo gani kuona kuwa Kiranga hana uwezo wa kujenga hoja!?
Ha ha ha!!!
Nilijua tu kuwa kuna watu itawaudhi hii.
Yaani mtu aseme kabisa Kiranga ni empty set alafu nikubaliane nae!?
Mimi ni Mkristo na ninaamini uwepo wa Mungu mkuu,lakini nikiambiwa nitaje watu watatu ambao ninatamani ningekua na walau nusu tu ya uwezo wao wa kiakili,basi Kiranga na Malcom Lumumba watakuwa namba moja na mbili.
Naamini hata wewe kaka Mshana nafsi yako itakusuta ukisema Kiranga ni mtupu kichwani (ukiweka pembeni tofauti zenu za kiimani).
Hapo juu umefanyaje?Kuwasemea wengine sio jukumu langu.
Watu kama wako walikuwepo tangia enzi za agano la kale.Ni jamii tu ambayo lazima iwepo kupingana na Mungu.kwa Mungu kupingana nae sio inshu maana anakuona kama sisimizi mbele yake anakuacha uwapotoshe wenye akili ndogo kama yako.Ila kumbuka siku ya kiama inakuja.Ambapo kila goti litapigwa.Asili maana yake nini? Umesoma nilipoandika kwamba habari ya muda ni mazingaombwe yanayotokea na kuonekana katika level yetu ya ulimwengu, lakini ukijikita katika kina cha kwanta muda unapotezwa kabisa na kutokuwepo na habari nzima ya "asili" ambayo inategemea muda na "cause and effect" inapotea?
Umeelewa somo hilo?
Unaelewa swali unalouliza ni kama swali la kipofu anayejua sauti tu, asiyejua ulimwengu wa rangi, anayetaka kuielewa rangi nyekundu kwa kuuliza" mlio wa rangi nyekundu unafafanana vipi? Rangi nyekundu ina sauti gani?"
Unaelewa swali hilo limeulizwa kimakosa kwa sababu anayeuliza hana uwezo wa kujua kwamba ulimwengu wa sauti ni sehemu tu ya ulimwengu na si kila kitu kina sauti, na kwa sababu yeye anauelewa ulimwengu kwa sauti, hilo halina maana rangi nyekundu ina sauti?
Umeelewa somo hilo?
Thibitisha Mungu yupo.Watu kama wako walikuwepo tangia enzi za agano la kale.Ni jamii tu ambayo lazima iwepo kupingana na Mungu.kwa Mungu kupingana nae sio inshu maana anakuona kama sisimizi mbele yake anakuacha uwapotoshe wenye akili ndogo kama yako.Ila kumbuka siku ya kiama inakuja.Ambapo kila goti litapigwa.
Msamehe bure kama nilivyofanya mimi
Kwani wewe hapo juu umefanyaje!?Hapo juu umefanyaje?
Kingunge alilazimishwa tuMwisho wa siku watakengeuka imani yao na kujua kwamba yupo muumba wa yote (Mungu) kama alivyofanya R.I.P kingunge kabla ya kifo chake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atafurahi Kweli akisoma hii compliment
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamkandamiza sana kirangaKisirisiri kimoyomoyo kimya kimya
Unakimbia sana madaKwa level gani? Tuwatoe watoto kwenye hili
Thibitisha Mungu hayupo?Thibitisha Mungu yupo.
Nani kasemaAchana na mengine yote jibu swali la asili. . je una AKILI? Ukishalijibu hilo ndio tutakuja sasa kwenye tafsiri ya akili
Kumbuka swali halijibiwi kwa swali kama unajiamini
[emoji23] [emoji23]target ya swali lake nimeielewa vizur,ukisema ndio una akili atakuuliza uthibitishe akili ilivyo hahahaha ukisema aionekan ilo jibu litaamia kwa mungu kua nae aonekan umewezaje kuamini akili unayo wakati aionekan,,,,,, picha tamu ili nisiharibu mitego[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiranga unatisha[emoji122]Walozi mpo kamavile flat earthers walivyokuwapo.
Kuamini duara bapa kunakufanya uwe flat earther, hakufanyi dunia iwe bapa.
Kuaminiuchawi kunakufanya uwe mchawi, hakufanyi uchawi uwepo.