Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

sijawahi kuona mtu Mwenye hoja zilizo shiba pia "" ambazo zimewahi kushinda hoja za kiranga...Mara nyingi tu "" amekuwa akizikusanya hoja za wanaoamini uwepo wa Mungu na kuzifinyanga finyanga kwa majibu Yke yenye hoja zenye fact "" ....." huwenda ikawa watu wanaoamini uwepo wa Mungu wakawa wanasimamia ukweli "" lakini wamekosa hoja zenye nguvu ambazo zinaweza Ku improve wrong kiranga ..."lakini mpaka sasa huwa nahesabu kuwa kiranga ndiye mshindi wa hizi debate""
Mpambeni tuuuu. Siku ya Siku Mtakanana.
 
Mkuu mshana ngoja nikuambie jambo moja kwanini Kiranga kabeba 65% na ww 35%

Tambua wazi kuwa lengo si kutafuta mshindi kwa maana haya sio mashindano bali kueleweshana

Haina maana wewe kukupa 35 ndio kiranga amekushinda au ww ndio hujui na yeye ndio anajua kukushinda wewe

Ukifikiria hivyo umekwenda na maji na na itakuwa ni masikitiko makubwa sana

Mpaka dakika hii katika dunia yote hii HAKUNA MWENYE UHAKIKA WA KUJUA KAMA MUNGU YUPO na WALA HAKUNA MWENYE UHAKIKA WA KUJUA MUNGU HAYUPO tunatumia dhana kujaribu kumuelezea wote wana toa dhana zao mwenye kusema yupo anatoa hoja zake na mwenye kusema hayupo anatoa hoja zake

Suala la kuwepo mungu ndio linaonekana kama lina nguvu kwakuwa lilikuwepo tokea karne nyingi sana japo waliosema hayupo waliokuwepi tokea zamani lakini hawakuwa na nguvu sana kama wenye kusema mungu yupo

Tatizo ni moja kwakuwa hakuna mwenye uhakika kama mungu yupo au pia hakuna mwenye uhakika kama mungu hayupo lakini wenye kuamini mungu yupo ni mungu gani sasa huyo mbona wapo wengi sana na wote wanatoa mafundisho tofauti kama yupo mmoja kwanini mafundisho yasiwe sawa ? Hapa ndipo mungu anapojichanganya sana huku anasema"

Amemtoa mwanae mpendwa kuja kuiokomboa dunia na wa mwisho kuja na ufunuo na huku anasema anamtuma muonyaji mwingine akae na nyinyi na ni mwisho wa manabii"

Kijichanganya huku ni kubaya sana kwa huyo mungu ndio maana Kiranga anang'ang'ania hapo hapo anakuambia huwezi ondoa hii contradict

Ila haina maana ww hujui na kiranga ndio mshindi siku Wewe you are still the best kila mtu atabaki na ubora wake,Ww unao bora wako na utabaki na ubora wako

Ila hoja mnazozitumia kumuelezea mungu ndio dhaifu sana hasa kwa karne hii hapo ndipo kwenye tatizo, sisi hatuna tatizo na ww kwa maana ww ndugu yangu tunaongea lugha moja tunatumia historia moja asili yetu inafanana mpaka rangi.Sisi tuna tatizo na huyo mungu wako aliyekuwa hana msimamo anaichanganya dunia anawachanganya waumini wake
Nataman nikupe LIKE zaid 10 lakn nashinda
 
Hapana, hiyoni Socratic Methodkuhakikisha tuna kwenda pamoja,tunachambua mambokwakina.

Nimetoamfanowa swalila "Wewe ni Mkristo" hapo juu.

Neno hilo Mkristo lina tafsiri tofauti.

Nneo akili lina tafsiri tofauti.

Naomba anijibu tu anaposema "akili" ana maana gani, kisha na mimi nitamjibu kama nina akiliamasina.

Asiponijibu, swali halijafafanuliwa vya kutosha na kwa hiyo sitaweza kulijibu.
Mi naaamin kama wewe kweli upoo kwwnye haki ya unachofikiria hauwezi Ku complicate mambo madogo kama haya.

We muuleze Maana ya Akili unavyojua wewe Kisha Mjadala ueende kwa kuchambua dhana hiyoo mpk muafikianeee..... Ilaa nachokionaa apaaa nikuwekeana ubavu jibu kwanzaaa jibuu jibuu, hii si namna ya kujadili.
 
Huyu Ndugu Mimi nimegundua kitu kimojaaa, kuwa yeye haamiini uwepo Wa mungu lakinii hawezi kuthibitisha Chanzo cha uwepo ulimwengu... Yupo katikati huku hayupo kulww hayupoo.. Mkuu anayumbaaa.

Mi nashangaaa sanaaa Binadamu utapingajeee uwepooo Wa mungu kwa mfano ??
Yeyote anayetaka ithibati za uwepo wa Mungu kwa mtazamo wa kibinadamu kamwe hatafanikiwa...
 
Na hii inamaaana kuwa Huyuu Ndugu Yetu bwanaa tokea amezaliwa mpka hivi sasa hajaonaa Dalili za Uwepo Wa Mungu.
Ameona, amejifunza, amesoma na ni mwamini mzuri tu ila kuna mahali kakengeuka na anamtumia maarifa yake hayo kucheza na akili za walio na tafakuri finyu
 
Ameona, amejifunza, amesoma na ni mwamini mzuri tu ila kuna mahali kakengeuka na anamtumia maarifa yake hayo kucheza na akili za walio na tafakuri finyu
Na anawapoteza kweli kweli. Ila kiufupi jamaaa anapotoa sana.

Ila si yeye tuu kuna watu enzi hizo walipinga uwepoo Wa munguu na walikuwa na uwezo Wa hali ya juu hawakuachwa sembuse yeye.
 
Na anawapoteza kweli kweli. Ila kiufupi jamaaa anapotoa sana.

Ila si yeye tuu kuna watu enzi hizo walipinga uwepoo Wa munguu na walikuwa na uwezo Wa hali ya juu hawakuachwa sembuse yeye.
Kipi kinachokufanya uamini wengine ndio wanaopotoka na si wewe unayepotoka!?
 
Thibitisha Mungu hayupo?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwepo, angejidhihirisha wazi kiasi kungekuwa hakuna mjadala kama yupo.

Angekuwepo, usingeuliza swali kama yupo.

Swali lako, linathibitisha Mungu hayupo.
 
Mi naaamin kama wewe kweli upoo kwwnye haki ya unachofikiria hauwezi Ku complicate mambo madogo kama haya.

We muuleze Maana ya Akili unavyojua wewe Kisha Mjadala ueende kwa kuchambua dhana hiyoo mpk muafikianeee..... Ilaa nachokionaa apaaa nikuwekeana ubavu jibu kwanzaaa jibuu jibuu, hii si namna ya kujadili.
You are so fucking late slopoke.

Better luck next time.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwepo, angejidhihirisha wazi kiasi kungekuwa hakuna mjadala kama yupo.

Angekuwepo, usingeuliza swali kama yupo.

Swali lako, linathibitisha Mungu hayupo.
Bado haujathibitisha Kama Mungu hayupo, ila umetoa maelezo kuonyesha Mungu yupo lakini hajawahi kujitokeza kwa macho wewe binafsi ukamwona ,? Ndio au hapana?
 
Bado haujathibitisha Kama Mungu hayupo, ila umetoa maelezo kuonyesha Mungu yupo lakini hajawahi kujitokeza kwa macho wewe binafsi ukamwona ,? Ndio au hapana?
Kuthibitisha Mungu hayupo inabidi nioneshe nini? Nieleze kipi kitakachokuridhisha kwamba hayupo?
 
Kuthibitisha Mungu hayupo inabidi nioneshe nini? Nieleze kipi kitakachokuridhisha kwamba hayupo?
Ni kueleza kwanini hakuna Mungu kwa kupinga sababu zifanyazo watu kukubali uwepo wa Mungu,kwa sababu unaposema hakuna Mungu inakuwa umepinga dalili na ishara zote zenye kufikirisha kuwepo Mungu.
 
Back
Top Bottom