vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 869
Mods naomba muufute huu uzi unamshusha hadhi mwalimu mshana jr
Asiyeamini uwepo wa Mungu atapata tabu sana, nasema hivi atapata tabu sana,,jahannam inamsubiri
Kiranga ukitaka kumuuluza kama uchawi upo,atakwambia ufafanue zaidi kuhusu uchawi unao uzungumzia,Mara atasema mambo ya titration za chemistry binafsi Mimi naona kiranga anamsimamo mkali sana nahii imetokana na uwezo wauke mkubwa sana wa kielemu kuhusu hizi dini za duniani
Jahannam haipo wala haitakuwepo na kama ipo we ndio inakungoja
Haya kama ni uongo utaona sasa
Huu uzi haujafa tu bado?
Hizo ni ndoto kwani nani aliyekupa habari as jahannam
Hapana, nimesilimisha kusilimu.Vipi mkuu umesilimu?
Ndio maana nikakuambia kama huamini basiii,,,majuto ni mjukuu!
Hahaha wao wanataka uthibitisho wa uwepo we mungu, sio hadithi za kusema mungu yupo bila uthibitisho.Mzee mwenyewe ina maana hawa watu hawajawahi kusikia mahali popote kuwa MUNGU yupo?
Ni mtazamo wako siwezi kupingana nawe... Lakini kama huna makengeza ungeona wazi mahali mada ilipofikia ni tofauti na asili yake... Na bado siamini katika kuandika insha ndefu nikinukuu maandishi ya wengine kama ndio hoja... Mjadala unapaswa uwe na majibu ya moja kwa moja, rahisi kuelewekaNAOMBA NIWE JAJI WA MJADALA HUU USIJE ENDA MIAKA KUMI
NA MSHINDI NI Kiranga
Mimi ni mkristo ila kwa hoja bosi wangu mshana humfikii hata robo bado mkuu ni mweupe sana ,samahani kama nitakukwaza.
Mjadala hautokuja kuisha mambo Ya imani ni magumu sana.
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana wewe unavifungo vya kufikiri vya jamii inatakann kiwe sahihi? Dini inasema nini? Wazazi walikwambia nini? So unaingia kwenye mjadala wa ni rangi gani nzuri ukiwa umejiandaa jibu liwe ni nyekundu,so umekuwa unatumia programed question kufikia lengo,ila kiranga anafikiri bila mipaka na hakimbii mitego Kama we,Ntakupa mfano ukiwaambia watanzania mashoga kwenye katiba yenu wanna haki zao basi umryatibua utashambuliwa vikali ,wakati ni kweli Ila utaonekana wewe ni shoga na unawatetea kwa kuwa huna marinda au unawatumia ,hii ni level ya ujinga itaisha watoto wakielimikaNi mtazamo wako siwezi kupingana nawe... Lakini kama huna makengeza ungeona wazi mahali mada ilipofikia ni tofauti na asili yake... Na bado siamini katika kuandika insha ndefu nikinukuu maandishi ya wengine kama ndio hoja... Mjadala unapaswa uwe na majibu ya moja kwa moja, rahisi kueleweka
Ni mtazamo wako siwezi kupingana nawe... Lakini kama huna makengeza ungeona wazi mahali mada ilipofikia ni tofauti na asili yake... Na bado siamini katika kuandika insha ndefu nikinukuu maandishi ya wengine kama ndio hoja... Mjadala unapaswa uwe na majibu ya moja kwa moja, rahisi kueleweka
Naomba nikuulize swali rahisi lakini lililomshinda unayemsifia... UNA AKILI AMA HUNA AKILI...Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana wewe unavifungo vya kufikiri vya jamii inatakann kiwe sahihi? Dini inasema nini? Wazazi walikwambia nini? So unaingia kwenye mjadala wa ni rangi gani nzuri ukiwa umejiandaa jibu liwe ni nyekundu,so umekuwa unatumia programed question kufikia lengo,ila kiranga anafikiri bila mipaka na hakimbii mitego Kama we,Ntakupa mfano ukiwaambia watanzania mashoga kwenye katiba yenu wanna haki zao basi umryatibua utashambuliwa vikali ,wakati ni kweli Ila utaonekana wewe ni shoga na unawatetea kwa kuwa huna marinda au unawatumia ,hii ni level ya ujinga itaisha watoto wakielimika