Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Uchawi ni nini mkuu, na utajuaje huu ni uchawi na sio wavelength ambayo haijajulikana tu katika electromagnetic spectrum au fizikia mpya ambayo haijawekwa katika standard model of particle physics?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] uchawi upo na inafanya kazi... Uchawi ni sayansi isiyo na ithibati za kukokotoa
 
Mkuu hiyo document uliyoniwekea hapo sitaimaliza leo sasa ngoja niisome... Ina kurasa zaidi ya 700

Hicho kitabu kinaitwa "The Philosophy of Religion: An Anthology".

Ni kitabu muhimu sana katika mijadala ya uwepo wa Mungu.

Hicho ni kitabu ambacho kimechambua sana hoja za kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu, kwa kuangalia kila upande, kila dini, kila utamaduni kwa pande zinazotetea na zinazopinga kuwepo kwa Mungu.

Ni kitabu kilichoshiba na sitegemei ukisome mara moja.

Ila kisome, hata kama utatumia mwaka mzima.

Kitakuonesha mambo mengi sana zaidi ya mijadala midogo ya kila siku, kwa pande zote, ya kutetea uwepo wa Mungu na ya kupinga.

Nilivyokuwa na miaka 19 nilikisoma kitabu hiki, kikabadilsisha maisha yangu kwa kunifungua macho sana.

Tatizo hapa nabishana na watu wanaoishia kusoma Quran na Biblia mostly (not always)
 
Uchawi ni nini mkuu, na utajuaje huu ni uchawi na sio wavelength ambayo haijajulikana tu katika electromagnetic spectrum au fizikia mpya ambayo haijawekwa katika standard model of particle physics?

330px-EM_Spectrum_Properties_edit.svg.png

electromagnetic-spectrum-Fig-34-1-800.jpg
Je Unaamini uwepo wa majini ?
 
Je Unaamini uwepo wa majini ?
Katika bandiko ulilonukuu, toa neno uchawi, weka majini, halafu rudia kusoma.

Kimsingi unarudia swali lile lile.

Na jibu langu la njia ya swali (Socratic method of exchange) hujalijibu.
 
Uchawi ni nini mkuu, na utajuaje huu ni uchawi na sio wavelength ambayo haijajulikana tu katika electromagnetic spectrum au fizikia mpya ambayo haijawekwa katika standard model of particle physics?

330px-EM_Spectrum_Properties_edit.svg.png

electromagnetic-spectrum-Fig-34-1-800.jpg
Je unaweza kuniambia asili ya hiyo standard model of particle physics?
Na je atom asili yake ni nini?
Ilikuaje kuaje mpaka ikawepo?
Electron, proton na neutron zilitokea wapi?

Ukinijibu haya maswali basi nami nitaungana na wewe kuamini kuwa mungu hayupo,
Ukishindwa kujibu basi tengua imani yako na uungane nasi tunaoamini uwepo wa mungu.
 
Asili maana yake nini? Umesoma nilipoandika kwamba habari ya muda ni mazingaombwe yanayotokea na kuonekana katika level yetu ya ulimwengu, lakini ukijikita katika kina cha kwanta muda unapotezwa kabisa na kutokuwepo na habari nzima ya "asili" ambayo inategemea muda na "cause and effect" inapotea?

Umeelewa somo hilo?

Unaelewa swali unalouliza ni kama swali la kipofu anayejua sauti tu, asiyejua ulimwengu wa rangi, anayetaka kuielewa rangi nyekundu kwa kuuliza" mlio wa rangi nyekundu unafafanana vipi? Rangi nyekundu ina sauti gani?"

Unaelewa swali hilo limeulizwa kimakosa kwa sababu anayeuliza hana uwezo wa kujua kwamba ulimwengu wa sauti ni sehemu tu ya ulimwengu na si kila kitu kina sauti, na kwa sababu yeye anauelewa ulimwengu kwa sauti, hilo halina maana rangi nyekundu ina sauti?

Umeelewa somo hilo?
 
Hicho kitabu kinaitwa "The Philosophy of Religion: An Anthology".

Ni kitabu muhimu sana katika mijadala ya uwepo wa Mungu.

Hicho ni kitabu ambacho kimechambua sana hoja za kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu, kwa kuangalia kila upande, kila dini, kila utamaduni kwa pande zinazotetea na zinazopinga kuwepo kwa Mungu.

Ni kitabu kilichoshiba na sitegemei ukisome mara moja.

Ila kisome, hata kama utatumia mwaka mzima.

Kitakuonesha mambo mengi sana zaidi ya mijadala midogo ya kila siku, kwa pande zote, ya kutetea uwepo wa Mungu na ya kupinga.

Nilivyokuwa na miaka 19 nilikisoma kitabu hiki, kikabadilsisha maisha yangu kwa kunifungua macho sana.

Tatizo hapa nabishana na watu wanaoishia kusoma Quran na Biblia mostly (not always)
Unaweza ukaeleza kwa uchache ni yapi yaliyobadilika katika maisha yako baada ya kusoma hicho kitabu?
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe TWAWEZA iko mpaka huku

Mkuu mshana ngoja nikuambie jambo moja kwanini Kiranga kabeba 65% na ww 35%

Tambua wazi kuwa lengo si kutafuta mshindi kwa maana haya sio mashindano bali kueleweshana

Haina maana wewe kukupa 35 ndio kiranga amekushinda au ww ndio hujui na yeye ndio anajua kukushinda wewe

Ukifikiria hivyo umekwenda na maji na na itakuwa ni masikitiko makubwa sana

Mpaka dakika hii katika dunia yote hii HAKUNA MWENYE UHAKIKA WA KUJUA KAMA MUNGU YUPO na WALA HAKUNA MWENYE UHAKIKA WA KUJUA MUNGU HAYUPO tunatumia dhana kujaribu kumuelezea wote wana toa dhana zao mwenye kusema yupo anatoa hoja zake na mwenye kusema hayupo anatoa hoja zake

Suala la kuwepo mungu ndio linaonekana kama lina nguvu kwakuwa lilikuwepo tokea karne nyingi sana japo waliosema hayupo waliokuwepi tokea zamani lakini hawakuwa na nguvu sana kama wenye kusema mungu yupo

Tatizo ni moja kwakuwa hakuna mwenye uhakika kama mungu yupo au pia hakuna mwenye uhakika kama mungu hayupo lakini wenye kuamini mungu yupo ni mungu gani sasa huyo mbona wapo wengi sana na wote wanatoa mafundisho tofauti kama yupo mmoja kwanini mafundisho yasiwe sawa ? Hapa ndipo mungu anapojichanganya sana huku anasema"

Amemtoa mwanae mpendwa kuja kuiokomboa dunia na wa mwisho kuja na ufunuo na huku anasema anamtuma muonyaji mwingine akae na nyinyi na ni mwisho wa manabii"

Kijichanganya huku ni kubaya sana kwa huyo mungu ndio maana Kiranga anang'ang'ania hapo hapo anakuambia huwezi ondoa hii contradict

Ila haina maana ww hujui na kiranga ndio mshindi siku Wewe you are still the best kila mtu atabaki na ubora wake,Ww unao bora wako na utabaki na ubora wako

Ila hoja mnazozitumia kumuelezea mungu ndio dhaifu sana hasa kwa karne hii hapo ndipo kwenye tatizo, sisi hatuna tatizo na ww kwa maana ww ndugu yangu tunaongea lugha moja tunatumia historia moja asili yetu inafanana mpaka rangi.Sisi tuna tatizo na huyo mungu wako aliyekuwa hana msimamo anaichanganya dunia anawachanganya waumini wake
 
.
tapatalk_1536888334749.jpeg
 
Back
Top Bottom