Safi mkuu ... Ila dah mungu yupo huyu kiranga mwache ... Tu ...Marahaba hujambo kubwa
no offense maana yake nnNo offense!
Kama Kiranga ni mwepesi wa hoja,basi jamii forums hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja!!!mkuu hapa umedhihirisha kile ulichosema kuwa jamaa ni "mbishi na mwepesi wa hoja"
Umewadharau sana members wa JF.Kama Kiranga ni mwepesi wa hoja,basi jamii forums hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja!!!
Ah..ni kweli inabidi tu nimsamehe.Msamehe bure kama nilivyofanya mimi
Ha ha ha!!!Msamehe bure kama nilivyofanya mimi
Ha ha ha!!!Umewadharau sana members wa JF.
Hapana jisemee binafsi usiwe mtabiri.. Hebu angalia reply yangu imesemaje? Na jamaa aliyekujibu kasemaje... Hatuwezi kufanana mitazamo.. Hivyo mtazamo wako hauwezi kuwa wanguHa ha ha!!!
Nilijua tu kuwa kuna watu itawaudhi hii.
Yaani mtu aseme kabisa Kiranga ni empty set alafu nikubaliane nae!?
Mimi ni Mkristo na ninaamini uwepo wa Mungu mkuu,lakini nikiambiwa nitaje watu watatu ambao ninatamani ningekua na walau nusu tu ya uwezo wao wa kiakili,basi Kiranga na Malcom Lumumba watakuwa namba moja na mbili.
Naamini hata wewe kaka Mshana nafsi yako itakusuta ukisema Kiranga ni mtupu kichwani (ukiweka pembeni tofauti zenu za kiimani).
Hatuwezi kufanana mitazamo,na kwasababu hiyo ndio maana uzi wako umetengeneza kurasa zote hizi.Hapana jisemee binafsi usiwe mtabiri.. Hebu angalia reply yangu imesemaje? Na jamaa aliyekujibu kasemaje... Hatuwezi kufanana mitazamo.. Hivyo mtazamo wako hauwezi kuwa wangu
Nikipingana na mtazamo wako nitahitajika kupimwa akili.. Lakini wewe usipende kuwasemea wengine...Hatuwezi kufanana mitazamo,na kwasababu hiyo ndio maana uzi wako umetengeneza kurasa zote hizi.
Mitazamo ikifanana hakuna cha kujadiliana!!!
Kwangu mimi Kiranga ni mmoja kati ya watu wenye uwezo mkubwa sana wa kujenga na kutetea hoja zao hapa jamii forums.
Kati ya vitu vinavyofanya JF kuwa bora ni kuwa na members wenye uwezo wa kujenga hoja kwa hivyo si suala la kumtaja fulani na fulani. Na Kiranga wote tunamjua ila sijui wewe umetumia vigezo gani hadi ukaona Kiranga ana uwezo wa kujenga hoja?Ha ha ha!!!
Sijamdharau mtu yoyote Kiongozi.
Kama Kiranga hana uwezo wa kujenga hoja ni nani mwenye uwezo huo hapa jukwaani?
Nitafurahi ukinitajia,ili nami nianze kumfuatilia.
Wakikujib nitag
Sawa bwanaNaona kasahau au umechelewa[emoji23][emoji115]